Recent content by egon jr

  1. egon jr

    Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

    mkuu naomba huo ujuzi na mm aisee maaana haya ni maumivu sana
  2. egon jr

    Nahitaji mwanamke mwenye malengo

    kazi ushaianza na umetia mbegu kazi kwako kupalilia safari njema
  3. egon jr

    Walimu wote nchini watakiwa kuchangia pesa ya mbio za mwenge wa Uhuru nchini 2017

    kwani huo mwenge ni wa walimu au ni mwenge wa serikali mbona serikali hii inakuwa ya ajabu ajabu
  4. egon jr

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  5. egon jr

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    apa mjini usizubae na mpenzi waako watakunyang'anya ubaki na labda
  6. egon jr

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    watu apa mjini wanaishi ivo hawajui thaman ya kuekeza katika muda
  7. egon jr

    Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

    Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka *23* kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la *kiungwanana* kumuambia ukweli. Sikuambii umwambie kuwa humtaki na hutaki kuoa bali mwambie kuwa wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza. Ongea kiungwana na...
  8. egon jr

    Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

    hata jani huwa linalisha sana mti lakini inafikia wakati nalo linaacha mti achana nae upange usitaarabu mwingine
  9. egon jr

    Hapana, VodaCom wamefanya makosa na yatawagharimu kibiashara. Mfanyakazi wao ana maslahi nje!

    Mi nadhani yangu ina makosa kuliko hata ya muheshimiwa tajwa apo
  10. egon jr

    Naomba ushauri kuhusu mpenzi niliye naye

    Mm nadhani anaogopa kukuweka wazi. Kwasababu zifuatazo: 1.anaamini kuwa huko uliko unawezakuwa na mpenzi mwingine hivyo ni kama unamchora tu. 2.maisha yake yanategemea elimu hivyo hana vitrga uchumi na hajui wap aanzie kuweka mipango 3. Mapenzi ni hisia za ndani kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa...
  11. egon jr

    Kuchagua mke au mume..Je ni sahihi wazazi kushiriki??

    Kumshirikisha wazazi ni jambo sahihi ila ikitokea wakakataa na ili hali ushafanyanae mambo mengi ikiwemo na zinaa. Huwa unakuwa mtihani mkubwa sana kwa sababu ulimwamini na alikuamini japo kuna kasoro unaweza kuwa unaziona ukadhani ni ndogo ila wazazi wakaziona zina mashiko katika maisha ya...
Back
Top Bottom