Recent content by ego jaji

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Shule imewafanya wasomi wetu wengi wao wadokozi na matapeli.uongozi, misimamo ya maamuzi na busara ni vipaji sio shule. Wanaopinga hoja hiyo ni wa binafsi kwa ajili ya masilahi binafsi
  2. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Hawa jamaa kwa hiyo wananyonya trillion 19 kila mwaka nje ya utaratibu wa mkataba feki. Jamani wizi wa mchana kweupe tena hadharani, magu kwa nini umfukuze sospeter tu, weka ndani watendaji wote waliohusika na dili hili acacia group na wizara ya madini. Nina wasiwasi na wqlioingia mkataba huu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu ni mnafiki na Anapenda Vita!

    Marek ani wa kawaida ambaye so kundi la deep state anampeda Sana trump, hivyo vituko vote anavyotendewa amenwanaviona live vikienezwa na mainstream media kwa niaba ya deepstate. Hivyo a means kuwashughulikia. "Drain the swamp"mmojawapo ni huyo comey wa FBI kwa muono wa trump na wananchi wake...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema, kosa kubwa alilofanya Mungu ni kuwaumba waafrika

    Nasema Tena na Tena moyoni mwangu namuuliza muumba umemtoa wapi huyu magufuli kwani karudisha haki na ukweli katika utendaji kikatiba hata kama Kuna machache ya kusahihisha na kufutilia mbali usanii katika kuendesha nchi na matendo maovu Yanayowapokonya wenye haki walioisotea kihalali. Wenye...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Former official denies Trump's phones were tapped

    Trump anavuta pumzi huku ametega ambush waingie wengi kwenye mtego (shadow government na fake news) angalia wanavyotunisha mishipa kulizimisha hoja zao (wapinzani)ziwe kweli Bila ushahidi. Wamemshindwa tangu kampaini hadi kuapishwa Kisha wanajisahau kwamba tayari ni Rais, source zote za Intel...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Former official denies Trump's phones were tapped

    Waliweka mtaji wao wote kwa h. Clinton wakabunda Sasa wanatapatapa. Trump tayari ni Rais a new shariff in town watch out wataishia kwenye treason.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    Ameanzisha Sera ya viwanda lazima tumpe zaidi ya miaka 10 ili hata akikabidhi kijiti ndoto yake kwa taifa lake iwe imejenga misingi imara. Alafu uongozi ni mtu, hii kitu wanasiasa wanaita collective leadership tuwaachie ulaya hapa Africa ni full kuzungukana. Mwacheni jpm achape kazi. Mimi...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Mheshimiwa jpm ungekuwa na wakina makonda katika mikoa kumi tu ungekuwa unapumua maana kusingekuwa na vimungu unga , madeni hewa na hewa hewa nyingi zinazotuangamizia maendeleo. Ili tufanikiwe ni kukaza meno tu. Makonda oyee!!!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Ukitaka kumjua mwizi sikiliza sekeseke lake kama akiibiwa
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Hakuna hapa Tanzania chuo cha elimu ya Ukuu wa Mkoa wala Wilaya. Na hakuna rejea iliyopo yenye kutaja ni vyeti vipi vya chuo hicho vinavyokidhi matakwa ya kudahiliwa au kuteuliwa katika nyadhifa hizo. Acheni atapunguzie mateja ili nchi isipoteze nguvu kazi
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Sala la vyeti lisingezaliwa kama kamatakamata ya Jamie ya wauzaji ,wasafirishaji na wavutaji unga lisingekuwepo. Nashauri tusome vyema Mada ili tuwe na muafaka wa mijadala
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Je wauza unga wanawatendea haki watoto wetu? hakuna binadamu asiekosea, kuokoa taifa letu na la kesho ni muhimu Sana. Watu wa unga wasitake kutuburuza lengo litekelezwe Tena kwa kelele ili tabia ya vuta unga ikomeswe
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI apinga madai ya Trump kuhusu Obama

    Vita Kati ya elite na middle class, agenda ni cheap labour na ukwasi kwa elite group, elimu ajira ulinzi miundo mbonu na mengineyo kwa middle class ( unaweza kujazilia)
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI apinga madai ya Trump kuhusu Obama

    Usilolijua huwa ni usiku wa giza
Back
Top Bottom