Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
D.Trump anawasiliana na ktk kushirikiana na Urusi anatukanwa mpaka wanaanza mpango wa kumshitaki, ikumbukwe kwamba Vita ikiibuka kati ya Urusi na Ulaya hkn atakayepona, na cha ajabu zaidi Waafrika hawampendi Trump ingawaje ndiyo Raisi pekee wa USA ambaye ana sera rafiki kwa Afrika, Black Americans hawampendi Trump ingawaje ndiyo Raisi pekee anayewapigania!
Trump amesema ,,lets make peace" lkn Binadamu wanataka avamie Syria, Korea, Irani n.k.!
Trump anapigania Makampuni ya USA kujenga Viwanda USA na mnufaika mkubwa ni Black America kwani wao ndiyo wanaotegemea kazi za viwandani kwa kuwa wengi wao hawana University degrees, Trump anataka kuondoa violence ghetto America ambapo muathirika mkubwa ni Black Amerika, lkn bado hawaelewi, ...