Lakini ktk vitabu vyote vya dini vimekuwa vikisisitiza kutenda mema ndio maana naamini vimebeba pumzi ya roho mtakatifu na ndio maana wengi wanaolimnini neno lililopo katika bibilia wanakuwa ni watu Wema, hata hizi sayansi si zimekuja hapo juzi tu lakini kabda ya hizo sisi waafrika tulikuwa na...
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla, mm naona hapa duniani tunaishi kwa imani tu, coz toka umeanza kuwa na akili umeanza kuambiwa kitu kimoja kimoja na umeamini mfano wanakuambia huyu ni mama unaamini, huyu ni baba unaamini na hiyo imani inazidi kuweka...
Habari zenu wadau, poleni na majukumu, kiwanja kinauzwa mkoani Dodoma maeneo ya Msalato, kina ukubwa wa 20 kwa 45, huduma zote muhimu kama umeme, maji, usafiri zinapatikana kwa urahisi kabisa, hakijapimwa being ni sh. 3,000,000 tu, karibuni sana
Jamani kila mtu anagharama zake za ujenzi kulingana na nn anataka no quality ipi ya nyumba anayotaka, materials zipi anataka kutumia mfano mtu anaweza kupaua nyumba yenye vyumba 3 kwa mil 7 na nyumba hiyo hiyo mwingine anapaua kwa mil 2 na chenji inabaki
Mimi binafsi naelewa dictatorship ni uongozi wa kimabavu mabavu, lakini kwa jinsi ninavyoona uongozi wa JPM co wa kimabavu ni wa ushirikiano, yaani uongozi shirikishi au tunaweza sema participatory leadership. Ila hakuna binadamu aliyekamilika ila kwa upande wa mheshimiwa Magu anafanya vizuri...
It is too early to judge, na kwanini uanze na kujudge negatively wakati dr. JPM amefanya vitu vizuri? siku njema huanza asubuhi, dalili ya mvua ni mawingu, siamini kama JPM anaweza kubadilika yeye ni constanly constant, kazi kazi kazi tu, kazi na JPM ni complimentary
It is too early to judge, na kwanini uanze na kujudge negatively wakati dr. JPM amefanya vitu vizuri? siku njema huanza asubuhi, dalili ya mvua ni mawingu, siamini kama JPM anaweza kubadilika yeye ni constanly constant, kazi kazi kazi tu, kazi na JPM ni complimentary
Ukitaka kujua kuwa wanawake ni watu wenye nguvu na wanaweza fuatilia hapa, Ester, Debora, yule mwanamke aliyemshinda Samsoni pamoja na kuwa na nguvu nyingi nk. Lakini mwanamke ataonekana kuwa dhaifu na kuonekana hana thamani kama asiposimama katika nafasi yake, ila akusimama katika nafasi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.