Mkuu unatumia akili??... Ulitaka ushirikiano gani?... Si alishasema alipelekwa karakana ya Ostabey na kisha kupelekwa Chuga na kote alikuwa anahifadhiwa vituo vya polisi?
Sasa hapo unataka afanye nn?... Arud kwa wale wale polisi akawaoneshe eneo lao ambapo walikuwa wamemficha?
Em tutolee...
CCM nzima hakuna mtu anaweza simama na Lissu kwenye mdahalo. Lissu ukiacha uvyama wake ana akili mno kitu ambacho CCM hakuna anayemiliki.
Tena SSH kiukweli ndo hawezi kabisaaaa kusimama na Lissu kwenye mdahalo. Huu ni ukweli Mchungu.
Sativa hatoi ushirikiano?
Si kila siku anamtaja Mafwele kule X na mpk sasa kila mtu anamfaham Mafwele.
Sativa amehojiwa mara kibao tang akiwa hospitar kule Katavi, Aga Khan na mpk leo anamtaja aliyemteka.
Polisi wamefanya nn mpk sasa??
Kama bado unawaamini Polisi basi una matatizo ya akili.
Wameshindwa kuwakamata walomchukua mzee Kibao mchana kweupe kweny bus waje kuweza ya Mdude alochukuliwa usiku??
Polisi ndo watuhumiwa wa kwanza kabisa. Tatizo wanatuona sisi hatuna akili qmmk zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.