Enyi ccm msio NA akili ni nani aliyewaroga? Msitwambie sumaye NA lowassa ni wezi wakati mnauwezo wa kuwashitaki mnao mnatupostia uj umbe Kwenye mtandao cc tufanye nn wakati serikali mnaongoza nyie?acheni ulegelege.mkiwakamata mm Nitawapigia kura.
Mbunge mmoja alisema ikiwa watanzania wataichaguwa tena ccm na kuirudisha madarakani mwaka huu wakapimwe uwezo wao wa Kufikiri.mm KAZI zangu nategemea umm zimekwama kabisa alafu niwachague? Tume haidiwa viwanda kila kona UMEME hakuna je vitatumia power bank kuzalisha?
Huyo boya msimchague kabisa chagua ukawa.ameshaaanza kuvunja sheria kabla ya kupiga kura.tume haiwezi kukemea kwa sababu ndo wametoa NAMBA za simu za watu.shame on them!!!!!!
Hata kama kweli. In mwizi nitamchagua ili niiadhibu ccm kwa kushindwa kuwakamata wezi NA badala yake wanatuletea malalamiko kwenye majukwaa ya siasa kana kwamba mahakama hawajui zilipo.tuwaadhibu tusiwachague tena ccm kwa kushindwa kusimamia rasilimali za taifa ipasavyo.tuwakatae!
Pole sana Mr Adam,enyi mafisadi acheni kumjibu mwenzenu kihuni,hapa KAZI tu bila malipo?mnaenda kinyume NA neno LA mungu linasema asiyefanyakazi asile .hawa wanafanya KAZI NA hawali laana iliyoje? bro chagua ukawa tatizo lako litakwisha achana NA wahuni NA ahadi hewa.
Siwaelewi kabisa. Hiyo ni mind set ya MTU,kwa kizazi hiki usipokula mzigo unaonekana hampendani.ila the way ulivyo wasilisha siyo kweli.wengi wanapenda stories za mapenzi siyo kufanya mapenzi uliza walio owa wanaelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.