Zitto amejipanga, atashinda Jimbo la Kigoma Mjini

yalimoz

Senior Member
Jul 22, 2015
179
6
act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo sinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji hadi mlole! nawasilisha.
 
Wewe mwenyewe unaitwa dudu,kwahiyo ukionyesha matako yako ndo utapata faida gani ?yaana MTU mmoja ashinde watu wanne ni maajabu.
 
Napenda ashinde, napenda ukawa nao washinde majimbo mengine ili idadi ya act + ukawa izidi wabunge wa ccm
 
Ila chonde chonde, kwa kuwa Bi. Anna Mghwira hawezi kushinda urais naomba wanakigoma kura ya ubunge tumpe ZITTO na kura ya urais tumpe kwa pamoja Edward Lowassa ili ziunganishwe na kuleta ushindi kwa upinzani
 
act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo sinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji hadi mlole! nawasilisha.

Ukifika Mnarani niambie nije!!!!
 
Ila chonde chonde, kwa kuwa Bi. Anna Mghwira hawezi kushinda urais naomba wanakigoma kura ya ubunge tumpe ZITTO na kura ya urais tumpe kwa pamoja Edward Lowassa ili ziunganishwe na kuleta ushindi kwa upinzani

Ukawa walisema adui wao namba moja ni ZZK by ZZK
 
Back
Top Bottom