Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
1. JAMES MBATIA amekuwa mwanachama na mdau wa CHADEMA kuliko NCCR MAGEUZI
2. FREDRICK SUMAYE amekuwa muhimu UKAWA kuliko wanachama wa CHADEMA, NCCR, CUF na NLD walioanzisha UKAWA
3. Viongozi wa upinzani wameporomoka kifikra kabisa wapo tayari kukana hata majina yao kumfurahisha LOWASSA
4. Vijana wa UKAWA wamekuwa mafundi wa kufanya editing ya picha fake kupotosha umma kwa uongo kutafuta huruma kwa umma
5. GODLESS LEMA amepunguza tabia ya kuundaa mipango ya kujiteka ili aseme mafisadi wanataka kumuua
6. CUF imebaki zanzibar tu huku Bara hata jina tunaanza kulisahau kabisa
7. Vijana na viongozi wa UKAWA wanampenda na kumuabudu LOWASSA kuliko hata Mungu wao, kubwa kuliko wengine wapo tayari kusema kijani ni njano kumfurahisha mzee
8. Mke wa LOWASSA yaani Regina LOWASSA amekuwa mwenyekiti wa BAWACHA taifa HALIMA MDEE amekuwa mbeba ma file wa REGINA LOWASSA.
9. Wapinzani Tanzania wamekuwa waigizaji wazuri kuliko hata wasanii wetu wa bongo movies yaani wanapiga maigizo mzee MAJUTO hagusi nadhani watakuwa na muigizaji nguli kwenye team ya kampeni.
Aisee! Na wewe hapo umefikiria kabisa ukapanga points, tena kwa namba?