Recent content by edwardbm

  1. E

    ‘Fixed’?

    Points zako zipo too surporting rather than denying. Your post is more of Ironic
  2. E

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Too early. . . Watu hawawezi kuombea mabaya. Important Ni kuombeana kheri. Hata usiyempenda muombee kheri. . . Too early. ..
  3. E

    Tafakuri: Mimi ni kiongozi wenu, nayajua mengi

    Mi naamini sentesi sahihi Ni anaambiwa Mengi. Shida Ni, anayoambiwa je, yote ni ya kweli. Na Yana ushahidi. Mi ninawasiwasi na taarifa anazopewa, kunabaadhi zinanipa shaka. Japo Kama kiongozi hanabud kuwasikiliza wanaompa taarifa, Bora kuwa muoga, wakati mwingine.
  4. E

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    this made my morning. Kiranga umeulizwa.😀😀
  5. E

    Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

    Kama Lengo la Tanzania Chato iwe Kama majiji Makubwa ya China. Ni Rahisi Sana . Kabudi aje aombe ushauri tu.
  6. E

    Nakubaliana na mchungaji Msigwa kuwa level of thinking Tanzania imeshuka

    Kwa wenye kufikiria, na kupenda mijadala ya kufikirisha , rudisheni JF Ile Posts za Kejeli, porojo zina jukwaa lake. Huko fresh tu ku post chochote tuta like na kucomment. Ila Kama mtu kaanzisha mjadala wa siasa au Jambo lolote lenye maana , halafu mtu akapost Kejeli au upuuzi mwingine, Ni...
  7. E

    Nakubaliana na mchungaji Msigwa kuwa level of thinking Tanzania imeshuka

    Wakati nsjiunga JF nilikua naipenda, sababu mijadala mingi, ilikua ya namna hiyo. Yenye tija na kufikirisha Siku hizi sioni posts nyingi za namba hiyo. Imejaa Siasa na posts zenyewe hata kwenye hizo siasa hazina mantiki. Ni porojo, Matusi ya rejareja na Kejeli
  8. E

    JamiiForums ni bidhaa yetu, kwanini Rais haitumii?

    Si hata twiter hawatoi siri zawateja,na ipo account yake, vivyo hivyo ni vema awepo as verified one. ili tuhamasishe uzalendo wa kutumia vya ndani.
  9. E

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    napendakuchangia kwenye, japo nitakalo liandika sio hasa ndicho ninachofanya, ila ndicho ninachoelewa. Ibada ni neno pana, na kuabudu ni neno pana zaidi. Sina hakika nipo sahihi kiasi gani ila nadhani kuabudu kunaanzia kwenye upendo. Kuabudu ni hatua mbele ya Upendo. Naamini ibada ya kweli...
  10. E

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    The fact that the universe exists inatosha kumpa credit mtu/kitu ambaye amesababisha hii existence. Hiyo existence ililetwa na Nani? Obviously hata tukiweka mlolongo wa walio Anza, lazima tufike point iwe ndio ultimate source ambayo ni ever existing. I call that God.
  11. E

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Hivyo kabla hatujafika popote, Ni swala la kuamini. Yaani hata nikimuelezea na kumdefine utakavyotaka wewe, unaweza tu ukasema hujawahi kumuona hivyo hayupo. Ama sijawahi kumuona hivyo hayupo. Maana definition unayoitaka Ni Ile ambayo itaendana na matakwa yako. Itumike misamiati unayoitaka...
  12. E

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Mda huu siwezi endelea na mijadala. Ila Ni vyema kujua. Sio lazima mtu aweze kuelezea kitu kiundani Sana Basi ndipo kweli uwepo wake uwepo. Inawezekana wapo wengi wanaoamini Mungu yupo. Wao kushindwa kumdescribe, ama kumdefine haiondoi uwepo wa Mungu. Labda itawafanya tu wao kuwa Naive. Ni...
Back
Top Bottom