Recent content by edward55

  1. E

    JamiiForums Tanzania ‘Ninaishi kwa kuosha maiti kwa miaka 30’

    Huyu atakuwa ameathirika vby kwani hata akifiwa si zani kuwa atakuwa anauchungu wa msiba
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada biashara ya alizeti.

    Dodoma ndo nilipo ila naweza chukua hiyo iliyo nzuri.thanks
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada biashara ya alizeti.

    naomba kama kuna mtu anajua kuhusu biashara ya Alizeti na upatikanaji wa soko anielekeze nataka kujiajiri..
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wasanii Bongo ni mzigo kwenye social networks

    mh hilo dude ni la kutafuta mwana 3 na 4
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wasanii wabwia UNGA

    unga dona eti?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yahusu wasanii chipukizi

    duh sasa wanaodai tukomae ndo tukomae vipi?tunaitaji badiliko sehemu kwani waliotoka na wakadai wamekomaa ilikuwaje?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Yahusu wasanii chipukizi

    so wanataka mshiko kwenye promo au?na kwa nini m2 asijipange na pesa ya promo?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Yahusu wasanii chipukizi

    unakuta m2 ana kipaji ila yupo 2 mtaani je ni nini kina wakwamisha.kama ni kutoka ushajaribu na wapi pamekushinda.tuzungumzie hili tatizo jamani?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Poice and small kid

    dah nimeipenda tehteh
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa mtu.

    kwa kifupi mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 22 naishi DAR ES SALAAM natafuta kazi kwa mtu.elimu yangu ni form 4 na nina ujuzi katika ufundi wa computer.naweza fanya nyumbani kwa makubaliano mkoa wowote asanteni.
Back
Top Bottom