Recent content by Edward Sambai

  1. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Propaganda kazini. Russia anaingizwa kwenye mtego
  2. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu dinia ya sasa sio ya Maguvu Bali ni akili. Huu no mtego kwa Mrusi na (japo Ukraine anaumia zaidi) Mataifa ya Magharibi na Marekani ni wajanja sana. Hapa Putin anajengewa chuki duniani kuwa yeye ni katili, Ukraine atasaidiwa kimikakati na KUPEWA silaha ili amdhoofishe Russia, Economics...
  3. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ata Kichaa kabla ajavuka Barabara huwa anaangalia usalama kwanza. Putin Hawezi kuingamiza Russia kwa ujinga kama huo
  4. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa mkataba wa EPA, kuwabeza wawekezaji wa ndani

    Huwa mnawanang'a wamasai wa Ngorongoro kuwa wanamiliki ng'ombe wengi lakini hawana tija kwani ni maisha yao ni maskini. Binafsi sioni tofauti ya kujivunia viwanda vya ndani wakati viwanda hivyo hudhalisha bidhaa hafifu na kuuza bei juu. Wacha EPA (Economic Partnership Agreement) isainiwe ili...
  5. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mkuu mbona hiyo saa 8:55 bado haijafika?
  6. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Naona leo umemuwai #Bwashee, nadhani bado ajagawiwa Mgao wa bando
  7. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Did President Samia really have a choice?

    Unadhani hizi pumba ulizoziandika zinaweza kuvuruga mwanzo mwema aliouonyesha Rais Samia? Nikukumbushe tu kuwa hii sio Mara ya kwanza Mh. Samia kumtembelea Tundu Lissu, na hii inaonyesha wazi Mh. Samia kama angefika ubelgiji as raia wa kawaida angemtembelea Tundu Lissu. Hapa ninachokiona kwa...
  8. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Bwashee wacha leo nikupe like
  9. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

    Hii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
  10. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

    Kwa yeyote anayeitakia Tanzania mema atataka kuona Rais Samia, Freeman Mbowe na Tundu Lissu wakikaa pamoja na kuyamaliza na zaidi kufanya kazi pamoja ya kuijenga Tanzania. Najua wale maadui wa nchi hii hawatataka hilo litokee. Ila kama leo hii Rais ni wa Tanzania ni Mh. Samia na sio Magufuli...
  11. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Ole wako wewe unayefurahia wamasai kuonewa, kwani hakuna anayejua kuwa wakishamalizana na wamasai nani atafuata? Ilianza WAPINZANI (CHADEMA), MACHINGA, leo WAMASAI Kesho sijui kundi gani au nani. Binafsi naiombea serikali itende haki kwa kila jambo. Rais Samia ni mtu wa haki ila kama tutakuwa...
  12. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Mabango ya picha za Rais Uwanja wa Ndege KIA, bado najiuliza tatizo nini?

    Ata yakilipiwa unadhani hiyo pesa itatoka wapi? Tumia akili
  13. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

    Watu mnaona mbali
  14. Edward Sambai

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Kujenga madarasa........
Back
Top Bottom