Did President Samia really have a choice?

Acha upopoma, unadhani SSH anaweza lazimishwa na hali yoyote kuonana na Lissu? Na hata angeonana naye, unadhani ingempa nafuu Mbowe? Samia is a politician, hapo ame score katika international politics na amesafisha hali ya hewa iliyochafuliwa na watu wenye nia mbaya na nchi hii, the best politician is the one who sets the tunes and political agenda, ndicho alichofanya Samia, na Chadema wanacheza mziki wake
Samia kweli yupo bright Sana kichwani, hapo ameonyesha kuwa ni kiongozi muungwana pia
 
Perhaps you are one of Ms zuhura Yunus critique on English press release
We have the specific forum on our JF, where the use of English is insisted. The thread in hand is on the multi lingua forum. Therefore, stop being rude to the innocent JF users; although, they might have their own issues.
 
Hakulazimishwa kufanya ziara. Lakini kaifanya.

Lakini kweli angeweza kukataa kukutana na Tundu Lissu huko Brussels, makao makuu ya Umoja wa Ulaya...
Unadhani hizi pumba ulizoziandika zinaweza kuvuruga mwanzo mwema aliouonyesha Rais Samia?

Nikukumbushe tu kuwa hii sio Mara ya kwanza Mh. Samia kumtembelea Tundu Lissu, na hii inaonyesha wazi Mh. Samia kama angefika ubelgiji as raia wa kawaida angemtembelea Tundu Lissu. Hapa ninachokiona kwa Mh. Samia ni roho ya utu iliyopo ndani yake ndio inayomsukuma kuyatenda haya. Nimejaribu kuangalia wote waliokuwa hawana ubinadamu na wapenda sifa wamekosa nafasi kabisa kwenye uongozi wa Mh. Samia.

Ninachokushauri ni kwamba Rais Samia hayupo kwenye kiti chake kwa kura au mpango wa yeyote yule na wala hayupo apo kwa matakwa yake. Aliyemweka hapo ni Mungu muumba mbingu na nchi, Mungu mwenye nguvu ndio maana anakibali juu ya kila jambo analolifanya linafanikiwa pasipo kutumia nguvu wala umwagaji wa damu.

Rais Samia anakwenda kuandika historia katika nchi ya Tanzania, ataiunganisha nchi katika kila nyanja
 
Chief Hangaya, that is!

During the second leg of her European tour, while in Brussels, the Belgian capital and de facto capital of Europe, the president had a short visit with the self exiled Tundu Lissu...
She had all the choices lakini aliamua kuwa muungwana

Tatizo litakuja a few watasema she is weak… but aliamua kuwa the bigger person
 
So she didn’t have a choice then, right?

She just had to meet him or at least accept his request for a meeting so that it doesn’t look bad on her and the government that she leads.
Kwa siasa zetu za chuki chuki Unaweza ukasema she had no choice !! Lakini kwa siasa za watu wenye akili nzuri hakukuwa na sababu yeyote ya Rais kukataa ombi la Lisu kukutana na kufanya mazungumzo, Je kwani Lisu ana kosa LA Uhaini ??!!
 
My president Mama Samia Suluhu Hassan is a decent politician. I mean a decent politician who is so humane!

In no way should anyone think she is weak or could be driven as most of you tried to make us believe.

She is experienced in Tanzanian politics than most of the active politicians.

May she live longer!
 
Acha upopoma, unadhani SSH anaweza lazimishwa na hali yoyote kuonana na Lissu? Na hata angeonana naye, unadhani ingempa nafuu Mbowe? Samia is a politician, hapo ame score katika international politics na amesafisha hali ya hewa iliyochafuliwa na watu wenye nia mbaya na nchi hii, the best politician is the one who sets the tunes and political agenda, ndicho alichofanya Samia, na Chadema wanacheza mziki wake

Yeye ndio anacheza mziki wa CHADEMA. Maana CHADEMA Hana Cha kupoteza.
 
Chief Hangaya, that is!

During the second leg of her European tour, while in Brussels, the Belgian capital and de facto capital of Europe, the president had a short visit with the self exiled Tundu Lissu...
Mimi nilimsikia Mh. Lissu akisema wali reach out kwanza ndio akaomba audience. I think walimhakikishia kuwa Mh. Rais atakubali.
Kwa Brussels, ile photo op imemjenga sana. Lakini I would not raise my hopes mpaka hatua zianze kuchukuliwa on the ground. In my opinion kuachiwa kwa Mbowe na wenzake haitatosha niamini kuwa hali imebadilika.

Amandla...
 
Ndiyo, hata mimi nimemsikia akisema kuwa wao ndio wali initiate mawasiliano.

Kwa hiyo walijua walichokuwa wanakifanya. Ilikuwa ni political calculus kwa sababu walijua watakuwa wanatizamwa kwa jicho la tatu maana habari za Lissu zinajulikana huko EU.

Ingekuwa Lissu kakimbilia Kampala kwa Museveni huko sidhani kama hata wangehangaika naye kivile.

I’m just saying…
 
Chief Hangaya, that is!

During the second leg of her European tour, while in Brussels, the Belgian capital and the de facto capital of Europe, the president had a short visit with the self exiled Tundu Lissu...
Team Roho mbaya mnaungulika rohoni mtajijua wenyewe

Still angeweza kukataa na hakuna kitu mngemfanya.

Kuweni na shukrani enye team roho mbaya
 
Mimi nilimsikia Mh. Lissu akisema wali reach out kwanza ndio akaomba audience. I think walimhakikishia kuwa Mh. Rais atakubali.
Kwa Brussels, ile photo op imemjenga sana. Lakini I would not raise my hopes mpaka hatua zianze kuchukuliwa on the ground. In my opinion kuachiwa kwa Mbowe na wenzake haitatosha niamini kuwa hali imebadilika.

Amandla...
Nakuelewa imani yako iko kwenye misingi kwamba tumefanyiwa mambo mabaya sana na makubwa mno kiasi kwamba umepoteza imani.
 
Chief Hangaya, that is!

During the second leg of her European tour, while in Brussels, the Belgian capital and de facto capital of Europe, the president had a short visit with the self exiled Tundu Lissu...
Lissu made some requests/demands(which I believe that some of those demands are motivated or message from donors) to madam Hangai,hence,we'll judge the sincerity of the meeting when those requests are fully fulfilled.

If not,we consider the meeting to be a play acting intended to fool the world notably donors,and this will put Hangai reputation into jeopardy and I don't think she can handle to loose the reputation she receives now.
 
Chief Hangaya, that is!

During the second leg of her European tour, while in Brussels, the Belgian capital and the de facto capital of Europe, the president had a short visit with the self exiled Tundu Lissu...
Hakulazimishwa. Alichagua. Wakati alipokutana na vyama vya upinzani, Chadema waliamua kutoshiriki.

Menginevyo ana uhusiano na Lissu, aliwahi kumtembelea hospitalini Nairobi alipolazwa huko baada ya jaribio la kumwua.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Better they met for the unity of our country, and I believe their meeting is well above just the conditions set by the donors, this looks well planned before.

It also makes me feel like Samia loves Lissu more than Mbowe, that visit she made at Nairobi hospital when Lissu was brutally injured created some sort of a bond between them, that smile they portrayed yesterday speaks for itself.
gonga hicho hicho cha kikongo Nyani asitutishe ati😅😅
 
Lissu made some requests/demands(which I believe that some of those demands are motivated or message from donors) to madam Hangai,hence,we'll judge the sincerity of the meeting when those requests are fully fulfilled.

If not,we consider the meeting to be a play acting intended to fool the world notably donors,and this will put Hangai reputation into jeopardy and I don't think she can handle to loose the reputation she receives now.
The move is well calculated.

Lissu kupigwa risasi tanzanja ikombolewe.

Hii ni mipango ya Mungu
 
Hakulazimishwa. Alichagua. Wakati alipokutana na vyama vya upinzani, Chadema waliamua kutoshiriki.
Menginevyo ana uhusiano na Lissu, aliwahi kumtembelea hospitalini Nairobi alipolazwa huko baada ya jaribio la kumwua.
Unaweza kuchagua bila ya kuwa na uchaguzi wa kuweza kuchagua.
 
Back
Top Bottom