tatizo mijitu mingine utafikiri yanatoka usingizini ww umeambiwa hili tatizo la kuibiwa ni la kisheria tena na mikataba hii iliyowekwa ipo kisheria sasa ameweka angalizo pasije pakatokea tukaingia hasara kubwa kwa kulipa fidia kubwa na kimkataba hayo siyo madini yako ni yao maana mlishaingia...
kwa ujumla hili sakata hili la michanga ya dhahabu ni hora rais asingeunda tume ya uchunguzi kwani mikataba hii mibovu imewekwa na watawala wa ccm na haiingii akilini kwa kiongozi aliyekaa bungeni miaka 20 asilijue jambo hili ambalo lilipigiwa kelele sana bungeni lakini yote yalipuuzwa kwa...
kuna muuza madawa ya kulevya kashughulikuwa nchi hii?haya tuyaache maana unataka kutukumbusha vijana wetu wakivyopotea kwa ajili ya madawa hayo haramu!ss wewe ulitaka makonda iwe vp maana yy ni mteule wa rais na ndiye mwenye mamlaka ya kumfanya vyovyote atakavyo,kuhusu madawa haya hakuna...
inshu ni kubana matumizi na kama mpendwa wetu alisafiri nchi nzima kwa gari wakati wa kampeni mwacheni mda huu ale bata kwani hela zipo za kutosha ila kwa kubana matumizi ni nyie siyo yeye!
yaani UDSM wanetuasi!juzi tu tumewakabidhi majengo safi lakini wametutenda bila huruma!ok na sisi tutaenda vijijini kwa wale wasiojua mambo tuwapige bao!
na ccm pesa za uchaguzi mtatoa wapi najua hata mwenyekiti wenu ni bahili isitoshe ule mtindo wa kuhonga wapiga kura hapo ndo shidaa kwani mmezoea kuchangisha hela nyingi kwa wafanya biashara lakini ss wafanya biashara hawapo tena ndo adui mkubwa wa ccm! mda utaongea!
na hapo marekani naihurumia maana kuna mida itatokea us army marine na commando wa kikorea wakakutana katika mision tofauti itabidi kuchapani kwa mikono hapo kwa karet wakorea ndo nyumbani!
kipigo kitakampata marekani ni aibu kwa dunia kwani vita vyote alivyopigana asia zote hakuambulia kitu ukianzia korea na baadae vetnam na ya mwishi wakati wa vita kuu ya pili ya dunia meli zake nyingi na tegemeo lake zilizamishwa na japan bila huruma do ukapelekea kutumia silaha za kinyukria.
ni kweli hayo ni sawa alivyofanya H.kolimba alivyosema ccm inapoteza dira na ccm siyo mama yangu wala baba yangu na kulichokuja kutokea kila mtu anakujua!
kwani marekani ana nn kwani wababe wenzake hawaoni kwanza hata hiyo korea anatishia tu na kama ikitokea lazima kwa mara ya pili atatumia silaha kinyukuria zilizoougwa marufuku duniani kwani meli zake nyingi zitazamishwa na kutiwa hasara kubwa kama alivyofanya japan wakati wa vita kuu ya pili!
afadhali wangeenda rwanda au Ethiopia maana kuwa mhudumu wa ndege siyo lugha tu hata muonekano (shape) siyo mhudumu aonekane kama bausa hata mteja anatishika,Mhudumu anatakiwa awe kuku wa kienyeji kweli na hiyo anaweza kuwa kila safari atamani apande ndege ya shirika hilo kila safari aipatapo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.