Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
2015 ulikuwa Uchaguzi mzuri kwa chadema kwa kuwa walipokea ujio uliokuja na hela ndefu, Lowasa na maswahiba wake kama Rostam Aziz, law firms za kifisadis zilizomteua Tundu lisu kuwa Mkuu wa TLS, Makampuni ya kifisadi n.k.!
Sasa 2020 hawa watu hawawezi kukubali tena kutoa fedha kwani kama ni fadhila kwa Lowasa kwa mazuri aliyowatendea walishalipa 2015 na ushindi walioahidiwa haukupatikana, hivyo chadema watatoa wapi fedha za ,,Mafuriko" 2020?