kaseva
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 473
- 305
1. Eee bwaana, mkulu atangaze kuiunga korea kaskazini mkono
2. Tupige picha vifaru vyetu vikiwa barabarani tayari kwa vita, self na mikwara kibaaao vitolewe na mkulu
3. Vyombo vya habari vyote vitangaze tukio hili la tanzania kuiunga korea kasikazini mkono katika wakati huu mgumu.
4. Mkulu atoe matamko mbalimbali ya kuionya Marekani kwamba endapo wakijaribuuu, tutawaazibu na kutoa silaha zetu zote