Recent content by EDWARD KABAMBA

  1. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Maneno ya wanasiasa hayo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kutakuwa hakuna tembo Tanzania

    hivi kweli mpaka mtu aende hifadhi akapige tembo tena kwa bunduki na mrio wake magemu wasisikie?hebu tusidanganyane biasha hizi halamu hazifanywi na masikini zinafanya na matajiri,maana kama kilo moja ya pembe ni 80elfu mpaka laki,na uuzwaji wake mkubwa ni burundi na huko ugaibuni huyo masikini...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Kinachowapa raha ni ukubwa wa dushelele au ufundi wa mwenye dushe?

    wabongo bhana mnawazo vitu ambavo mnajua wengi vimewapeleka aridhini.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Kinachowapa raha ni ukubwa wa dushelele au ufundi wa mwenye dushe?

    katiba yenyewe ni donda dugu linalotoa harufu tena kali
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

    mungu amlaze pema peponi AMINA
  6. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    nchi hii inakwenda wapi ina maana kila kiongozi akikutwa na hatia ni kuachishwa kazi?hebu ifike sehemu tuone mbali hakuna ambaye amekamilika.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na mke wangu jogoo hawiki ng'o; nje anawika sana mpaka asubuhi

    jalibu kuwaona wataaramu usije ukajikuta unampoteza mkeo bure na huko nje si kuzuri ndgu yangu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watutsi ni Jews?

    unautani na kagame(cyp)?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watutsi ni Jews?

    unautani nao khe?
Back
Top Bottom