Kwa hiyo unachosema HIV/AIDS is a hoax? Kwamba it is not real? Wazungu wenyewe hawafi kwa UKIMWI? UKISEMA HIV IS NOT REAL UNA MAANISHA SCIENCE IS NOT REAL? Unajua nini kilikuwa kinatokea kwa waathirika wa Ugonjwa huu kabla ya Arvs miaka ya mwanzoni mwa 80
How could anybody be this hilarious...
Hakika,kila mtu hukosea katika eneo Fulani la maisha na kila mtu anastahili nafasi ya pili,cha msingi warudi katika misingi ili wasirudie kosa hilo tena!
Ni lazima wawe katika mahusiano yanayoeleweka,mwanaume awe tayari kuwa baba ndipo mimba itungwe!
Japokuwa kila mtu ana sehemu ya kufanya...
Acha chuki,kila mtu ana haki ya kutafuta kipimo kamili cha furaha yake!
Yaani aendelee naye tu kwa sababu wametoka mbali au aendelee naye kwa sababu anampa furaha?
Kikubwa tu wakati anamwacha alimmegea sehemu ya walichochuma wote?
You don't know what's behind their break up so don't JUDGE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.