Kwanza kabisa komasavaa wadau wote wa SOC 2024. Sauti tunazopaza katika makala hizi ziwe sauti zenye kuleta mabadriko kweli na zisiwe sautibubu zakuishia hapahapa jf. Mapendekezo yangu ni kama ifuatavyo kwa leo.
Wajibu na haki: serikali kupitia wizara husika ihakikishe sasa inatoa...
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?
Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
Tanzania ni nchi yenye raia wachapa kazi wenye ubunifu na wanaopambana katika kuleta maendereo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla isipokuwa kuna mambo yanayowaangusha kila wakati ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi.
Tuyaache hayo twende kwenye mapendekezo ya nini kifanyike sasa.
1...
Kuna ule msemo wa kwamba "penye nia pana njia" Tanzania yenye viongozi wenye mtizamo na matarajio makubwa wakitia nia katika haya yafuatayo basi nchi yetu itazidi kupiga hatua kubwa.
1. Serikali iboreshe nyanja zote za usafirishaji wa bidhaa, malighafi na watu katika maeneo mbimbali ili...
Tanzania tuitakayo yenye wakazi wenye maisha na maendeleo makubwa ni Tanzania yenye mambo yafuatayo tena yakiwa katika ubora wake.
1. Mfumo bora wa uchaguzi na wenye kuzingatia haki na maendeleo katika jamii ya watu husika, kuwe na mfumo utakaohakikisha kiongozi anatimiza yale aliyoahidi wakati...
Tumekuwa tukiongozwa na viongozi wenye ahadi nzuri sana na tamu ukiangalia vizuri kabisa unaona maendeleo si haya na kiongozi si ndiye huyu. Lakini katika wakati wa utekelezaji wa ahadi zao sasa wakiwa madarakani kila kitu kinakuwa kinyume kabisa. Wakati tunaelkea katika uchaguzi ujao, wadau...
Kwanza kabisa nadhani sio kosa kunyonya lakini pia kutonyonya lakini tunatakiwa kuzingatia juu ya kitu gani mtu anaweza kukifanya na kipi hawezi kukifanya kulingana na hisia zake kwanini umlazimishe kufanya kitu ambacho hakina ulazima ilihali yeye hawezi.
Niongelee mapendekezo machache leo.
1. Serikali iboreshe barabara kwa kiwango chenye uimara zaidi toka ngazi ya mkoa hadi kata. Na sio barabara ambazo wakati wa mvua hazipitiki.
2. Mifumo ya usambazaji maji ya bomba iboreshwe na iwe imara, tuachane na bomba ambazo zinapasuka kirahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.