Recent content by Edo Mashili

  1. E

    Msaada tafadhalini Madocta wa JF

    Nashukuru wakubwa kwa ushauri wenu mbarikiwe sana
  2. E

    Msaada tafadhalini Madocta wa JF

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Nina mdogo wangu wa kike umri ni miaka 20 ana tatizo la kuota vipele kama vichunusi kwenye miguu yake ambavyo hufikia muda vinaiva na kutoa usaha na vinaota kila siku anapojikuna kwan vinamwasha sana. Kuna dawa ambayo alianza kuitumia kutoka kwa mhindi ya kupaka...
  3. E

    Msaada tafadhalini Madocta wa JF

    Ndugu poleni na kazi kubwa ya kuimarisha afya za Watanzania pamoja na kujenga taifa. Nina mdogo wangu wa kike ana umri wa miaka 20 ana tatizo linalompa shida sana,kuna vipele kama vchunusi vidogo vinamtokea miguun hasa maeneo ya kuanzia kwenye magoti kushuka chini vinavimba na kutoa usaha na...
  4. E

    Naomba kazi,elimu kidato cha 6

    sawa kaka i will work on it
  5. E

    Naomba kazi,elimu kidato cha 6

    nashukuru sana mkuu ntalifanyia kazi
  6. E

    Naomba kazi,elimu kidato cha 6

    Nisaidien ndugu zangu kazi ambayo itanisaidia kuendesha maisha yangu kwani nimemaliza kidato cha sita kwa uweza wa Mungu pekee japo nategemea kuanza chuo ila hali yangu ni mbaya sana wazazi wangu waliniacha {walifariki}baada ya kumalza kidato cha 4 tu,nisaidien ndugu zangu napatikana Arusha na...
  7. E

    Biashara ya Saloon ya Kiume

    Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema
  8. E

    Nisaidie nini cha kufanya mtaji wa milion 5

    Wakuu poleni na majukumu ya kujenga taifa letu,nina mtaji wa million 5 hapa nisaidie nifanyie nini wakuu,nasubiri kutoka kwenu
  9. E

    Msaada kwa sisi arts takers

    Mimi ni kijana wa kiume nimechukua comb ya arts HGL nimemalza kidato cha sta mwaka jana naomba mnisaidie ni facult gan nzuri ya kuchukua chuoni ambayo itakuwa na faida kwangu baada ya miaka yangu mitatu chuoni...NAKARIBISHA USHAURI NDUGU ZANGU
  10. E

    Kumbe hata kwenye boxing watu wanapaki bus!

    hahahahah nshdaaa
  11. E

    Azam, Undugu na Yanga umekwisha leo saa 7:30

    Hahahahahahah waambie baba
  12. E

    Sikia kauli hii ya msemaji wa Simba

    Hahahahahah huyo ni mropokaji wa simba et ana2pangia kikos,hatuna majeruh ila hatuwapangi kwan wachezaj wengne wana mguu mmoja mmoja
  13. E

    Nilisema ipo siku watu wote duniani tutaipenda Yanga, Ona sasa!

    hahahahahah mabonanza na muwalipe wachezaji mliowatapeli,...pambafuuu
  14. E

    Hongereni Yanga, ila nyie ni wa hapa hapa tu

    endeleen kutengeneza timu za kushrk mashndano ya mchangan hahahahahah hata nafas ya pili mmekosa? Mliboranga wenyewe wala hatutak hongera yako ya knafk
Back
Top Bottom