definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
la muhimu nikwenda hosptal mapema...ili kama ni allergy afanyiwe allergy test kuliko kutibu kwaku bahatisha.
hapana sio huo wa Slaa, nilikuwa najua ule wa falaq...
Watu wenye imani za kishirikina ndio maana mnadhurika na kufa ovyo.
Wacha kabisa imani za kijinga.