Recent content by Edmlh45

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu unamfanyaje?

    Ni sahihi kuwatimua hao
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mpenzi bila kugharamika

    Nimefirisika kisa kumlizisha demu wangu matokeo yake kaxepa na njia.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Michapio hatari

    We Neema umesema unaitwa nani?
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hapa na Nipeni ushauri Rafiki zangu.(Part 1)

    niendeleze stori hii? nambie
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hapa na Nipeni ushauri Rafiki zangu.(Part 1)

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21.,Ni mtu mwenye Upendo, mchapakazi, Heshima, Jasiri na pia naeishi ktk maisha ya kawaida saana. >>stori inaanzia miaka mitatu iliopita katka mji mdogo unao patikana sehemu furani mkoani IRINGA..
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Pole xana Mi mwenyewe yamenikuta xoon ntawaletea stor nzma.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kipi utamwambia mpenzi wako?

    kumekua na tatizo katka wapenzi wetu ilihali wengi wao hushindwa kuwaambia ukweli wahusika wao! []>Kama wewe mpenzi wako ana 1)kinywa, 2)Miguu, 3)Kwapa, 4)mwili mzma, 5)hata sehemu zake za siri zinatoa harufu kali utamwambia ukweli au utakausha?
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabao matatu, manne, unafanya kazi, hautakaa uendelee!

    umenena ukweli cio mda wote ukiwa na mpenzi wako lzma usex ebu amkeni nyie fanyeni kazi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nipeni wazo

    itachukua mda xana bext japo mshkaji anajua kua namkubali xana demu lakn ndo hvo demu anamkubali jamaa!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nipeni wazo

    sure mademu wec hawa kweli hawa xomeki much love kwako ntafanya hvo!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii ?

    rudi ulale
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nipeni wazo

    Kuna mdada nampenda xana ila yeye anampenda sana mshikaji wangu eti nifanye nn? naomben maoni
  13. E

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukipewa jibu kama hili wakati unatongoza?

    unaachia 2
Back
Top Bottom