Jinsi ya kumpata mpenzi bila kugharamika

Jinsi ya kumpata mpenzi bila kugharamika

Ukweli ni kwamba kwa njia hiyo unaweza kupata demu ambaye atakutafuta tu wakati anahitaji mapenzi ya kweli but most of time atakuwa na mtu anayekata mkwanja
 
LOVE IS EXPENSIVE All the time....

  • you waste time
  • you waste energy
  • unapoteza rafiki na ndugu....
  • mambo yako yanasimama
kutokana na na thread yako unaongelea namna ya kusex bila kugharamia......... ALWAYS SEX IS EASY....
 
why all the hussle kaka si utafute pesa tu nadhan ni rahis kidogo kuliko hizi procedures alafu mbaya zaid utaweza kuzimaintain? pesa ukishaanza kazi maan yake unaendelea kuzipata je hizi mbwembwe miaka nenda rudi itawezekana?
 
Mapenzi ya Kweli yalikuwaga zamani bana. Now days, no money no honey...! Km hukubali mtest demu wako akupe pesa km week hivi uone km atakupigia simu tena.

Sikatai mapenzi ya kweli yalikuwa zamani....ila tupo bado tunaochukua mademu wakali bila ya kutanguliza pesa...kuna vitu flani ukujipanga hakuna demu anaruka,ata ivyo utanunua wangapi kama kila utaemtaka unamwaga hela
 
Najua wengi wenu amjui jinsi ya kumpata mpenzi mpaka mgaramike. Wengi wenu nyinyi kwa mara ya kwanza umekutana na mdada kitu cha kwanza unajionyesha kwa jinsi gani unao uwezo wa kifedha.

Unafanya hivyo kwa sababu hauna "impessive skill" akili ya kumteka. Kijana nakuambia, pasipo kutumia pesa uta mteka mpenzi na kufanya naye mambo yetu yalee karibu siku zote bila kugharamika.

List chini ni vitu ambavyo nakufunda uvifanyie kazi

1 - akili ya mazungumzo/ inahusisha sana sauti ya kimahabati. Ukiongea kama chiriku shauri yako. Tulia, panga point changanya na sauti ya mvuto utaniambia.

2-Uwezo wa kumfanya mdada acheke mara kwa mara. Siyo unaongea na manzi unakuwa kama hakimu anasoma hukumu, tunga stori za uwongo na kweli. Nyingi ziwe za uwongo. Hawa viumbe Mungu alivyo waumba, uwongo ndio ukweli kwao.

3-Uwe mbunifu, hapa sasa kwenye mambo yetu yalee. Kila siku akutane na mambo mapya. Mapenzi ni uchafu ukifanya uchafu wote walahi tena utakuja niambia Kwamtoro kweli wewe noma.

Ukiweka ulimi pale akikisha antena yake imesimama wima, asipo omba Poo!! Usibanduke mpaka yeye agome kabisa.

Kikieleweka akikisha unajituma vizuri kunako 6X6. kipimo chako kizuri ni yeye kupata usingizi wa kutosha baada ya tendo. Hapo big up, umefuzu kiwango.

4-Jiweke simple kabisa, afahamu wewe maisha yako ya kuunga unga. Ila akikisha unakuwa msafi wa mwili na mavazi pamoja na sehemu unayo lala.

5-Jifanye auna wivu kabisa, akizungua mzingue mara mbili. Hawa viumbe kwa kutest ndio wenyewe. Anaweza kukuambia me & u is over, wewe piga kimya tu. Siku ya kwanza itapita, kesho yake huyoo. Mwambie mimi nilikubaliana na maamuzi yako.

Siku nyingine akirudia njoo unisute kwamtoro. Ukijifanya Baby why why, atakubwaga ki kweli kweli unajiona hivi hivi.

Tatizo lenu vijana amjiamini nyinyi wenyewe mnahonga mpaka sasa inafikia hawa ma manzi awajitumi kujitafutia riziki kwa kazi za mikono yao pamoja na akili walizo pewa na Mungu.

Embu mabuzi tukate kamba tuwaone. Mambo ya LOVE & CARE yamepitwa na wakati. Sasa libakie LOVE tu.


Mpenda mademu wa bure ww, shauri zako, ndio nyie kila siku mnatangaza kwenye magazeti mnatafuta mijimama mijane mizeeeeee km bibi zenu iwaleee, cursed
 
Duu! Hahahahahahahaha!
Kazi kwenu msioweza kuaproach girls!
 
Nimefirisika kisa kumlizisha demu wangu matokeo yake kaxepa na njia.
 
Huu uzi umenikumbusha mziki nilotoka sikiliza...'Honey Bee' wa Blake Shelton....

Aaahhh amempenda dada mwenye kibanda cha kuuza asali...yani alijikuta ananunua asali kila siku....

Zimejaa nyumba nzima...lakini kumwambia hawezi...domo zege...

Siku ya siku anaenda kibandani anakutana na kibao 'out of business'.... 'sorry, no more honey'...
 
na wakiweka mbele pesa kuwa na maamuzi futa na namba otherwise utatumika.mimi maamuzi hayo yananisaidia sana na ukifuta ukakaa kimya utashitukia tu anapiga vipi mbona kimya au kwa vile nilikuomba pesa. ha ha ha hao binadamu noma.
 
[hallow baby QUOTE=ICHANA;10215512]uuuuupsi mmmmh[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom