Recent content by edifice

  1. edifice

    Ushauri na Maelekezo

    Mkuu niliposema ushauri nilimaanisha vitu vya kufanya wakati wa manunuzi kuhusu matumizi hilo ni suala jingine'Mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma'
  2. edifice

    Ushauri na Maelekezo

    Ushauri wenu nauzingatia, kuna ka Starlet kanauzwa nimekuwa interested kwa leo ningependa kujua ni namna gani mauziano yanafanyika
  3. edifice

    Ushauri na Maelekezo

    Usafiri mkuu
  4. edifice

    Ushauri na Maelekezo

    Habari ndg wana JF, ninakuja kwenu kuomba mnijuze taratibu za ununuzi wa chombo cha moto unafanyikaje, ni vitu gani vya kuzingatia ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima ya 'Sikujua'natanguliza shukrani wakuu
  5. edifice

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wapi kikwetu inamaanisha "Mweusi"
  6. edifice

    Mamlaka ya Rais katika uteuzi

    Habari wadau, Kama ilivyo kawaida kwamba Rais anayo mamlaka kwa mujibu wa sheria ya kutengua uteuzi hasa kwa wenye nafasi za kuteuliwa yaani Presidential appointee pale inapotokea kwamba mtumishi husika ameshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Je, inawezekana pia kutengua uteuzi wa...
  7. edifice

    Mchambuzi wa E-FM Oscar Oscar, tumia tu kiswahili na kiingereza waachie wenyewe wakoloni

    Jifunze adabu na nidhamu dogo, ukitoa ushuzi mi natoa uharo! kuwa mwangalifu na hizo lugha zako. Mende we
  8. edifice

    Mchambuzi wa E-FM Oscar Oscar, tumia tu kiswahili na kiingereza waachie wenyewe wakoloni

    Mamako kama asingekuzaa bila shaka angekuwa chizi mvaa chupi kichwani, nina wasiwasi huenda ulibemendwa...
  9. edifice

    Mchambuzi wa E-FM Oscar Oscar, tumia tu kiswahili na kiingereza waachie wenyewe wakoloni

    Wakati unamnyoshea kidole Oscar kumbuka vingine vimekuelekea wewe, nawe pia jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo ukishajua matumizi yake ndipo urudi kumkosoa mwenzako. Kipindi hicho kinasikilizwa na watu wa aina tofauti tofauti katika uelewa, kumbuka pia Kiingereza ni lugha rasmi kwa...
  10. edifice

    Nyama yenye virutubisho muhimu mwilini

    Ndio vyakula vyenu wachawi. Jingajingiri. Mzxs
  11. edifice

    Kulogea/kulogewa yai viza

    Mavi pumbavu
  12. edifice

    Hivi humu JF hamna wachawi?

    Cc: #mshana jr
  13. edifice

    Ni mwaka wa viroja hasa

    Pathos
  14. edifice

    Ni mwaka wa viroja hasa

    Wewe mwenye mtazamo wa kishetani ndiye unaona haina maana, yeye alifanya hivyo kumsupport kiongozi wake
Back
Top Bottom