Recent content by edga jux

  1. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    ***** unaguna nn wewe c baba kanituma wewe
  2. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    nahamu na nyie maana mta wekwa kambi mbili zinazo fahamika kwahiyo karibuni sanatulijenge taifa bila bati misumari wala cement huku kufa hufi ila chamoto utakiona
  3. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    ***** naenda chukua fomu jtatu
  4. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    alafu mnanukuu nn hii sio thread ya siasa uchama hauitajiki huku kama unataka siasa nenda ukajitangaze thread nyingine uko iv vitu si vya mchezo mchezo kabisa
  5. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    wote hatujui kitu humu bora hii thread ijadili mambo mengine tu swala jkt mtuachie wenyewe
  6. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    mnajua kukatisha watu tamaa nyie afu wewe kama ulifanya usahili basi wewe ni askari feki jeshini hatukatishani tamaa afu kuhusu fomu lazma hiyo
  7. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    fomu zitatoka soon wakishaenda hao
  8. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    iyo nukuu yako wewe sio yetu sisi
  9. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    asije tokea mtu akataka ela toka kwako
  10. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    fomu huwa ni one week after wao kwenda makambin ndio chamsigi ukiwa na fomu we jitaarishe ila kuwa makini na wezi
  11. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    fomu huwa ni one week after wao kwenda makambini
  12. edga jux

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    waeleweshe vizuri afu jeshini hamnaga rushwa hizi nafasi zinatokaga kama gift of honor kwaaskali wa kada mbalimbali na kuhusu wala la wanaendaje fomu zinatolewa then unaangiwa na kambi ili kufanya mjazo wawale ambao hawakujiunga na mafunzo kwa sababu mbalimbali kama magonjwa, vifo n.k na...
Back
Top Bottom