Recent content by Eddyka

  1. E

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Unapokuwa airtime we use to receice a notification msg lakini sasa hivi hawatumi matokeo yake unajikuta umetumia hela yote unknowingly badala wangekufahamisha uka subscribe bundle wenyewe hawatumi msg ili wakucharge kwa rate kubwa wakati source ni wao kutokutuma msg na ukipiga kuuliza ni majibu...
  2. E

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom ni mtandao ninaotumia siku zote ni sijawahi toka huko ila kwa walichonifanyia sitatuma hela, sitatumia tena internet yao, sitatuma tena voda kufunga ama kupay bills zangu hawa jamaa wamegeuka wakatili vibaya badala ya kuenjoy service imekuwa ni kero hata nilipopiga simu customer care eti...
  3. E

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Upeo wako wa kuelewa ni mdogo sanaaa na acha Kuchafu familia za watu kwa shombo zako
  4. E

    Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    Sasa kumbe wamekata pembeni walidhani atajichagua ndio wamuone hero huo ni upumbavu kudhani kuwa bila kupiga kura El Angeshinda kama hawakupiga kura kwa Mbunge na diwani basi wasilie imekula kwako kwa kupenda mteremko
  5. E

    UKAWA wakutana kwa dharula

    Mwenyekiti wa tume na viongozi wengine wa tume wanateuliwa ama kuajiriwa na risiti ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachoshindania pia madaraka na hiyo tume ikishatangaza hakuna sehem ya kulalamika kwa maana ya kutafuta haki sasa huo unaita uchaguzi huru??? Ni kichekesho na uigizaji hakuna...
  6. E

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nimesha chagua maji barabara elimu bora na bure pamoja na afya njema bila kusahau uhakika wa umeme hapa kigurunyembe zahanati na nimewaona international observers kutoka Ireland wakikagua mchakato kifupi ni kwamba nimeshachinja maana hamna namna tena ni kuwachinja Asanteni
  7. E

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Edward N Lowassa
  8. E

    ITV, hii ya leo ni taarifa ya habari au kampeni ya UKAWA?

    vibaraka wakiwemo le profeser na dakitari
  9. E

    ITV, hii ya leo ni taarifa ya habari au kampeni ya UKAWA?

    kafungue tv yako ufanye unachotaka ama change channel uangalie tv yenu tbc
  10. E

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Unahangaika kama kuku anaetaka kutaga tulia utage unafikiri kila mtu ni mbmbmb mbona hukuuliza fedha za escrow zilizosemekana kutoka stanbic kwamba zilienda wapi?mbona hukuwauliza serikali?sasa hv ndo una deemand!unajivika kitambaa usoni na kwenye ubongo unajifanya huelewi ati!
  11. E

    Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

    Hao wasomi mbona hawakumshangaa Jaji Werema issue ya escrow sembuse wakili Lissu waendelee tu kushangaaaa kama inawasaidia - cheap politics
  12. E

    CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    inaonekana unapenda majibizano Mgombea wako Magufuli amejibu hoja alizorushiwa?au unaona makengeza?basi mjibie wewe unavyoweza eboo!
  13. E

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    hatuna muda mchafu wa kuangalia mambo yasiyotujenga kwanza vituo vingine ni vipeperushi vya chama hakuna mwenye huo mda labda makada
  14. E

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Aisee nakupa BIG LIKE kama ambavyo na mi nimefanya kwa Hamfrey Polepole huu ndo mwendo ukimwona kwenye TV change channel ama zima au bora uangalie taarabu TBC kuliko hawa jamaa
Back
Top Bottom