UKAWA wakutana kwa dharula

UKAWA wakutana kwa dharula

Unaandika lakini?Jana wakati wanatangaza wewe ulikuwa wapi?
Hebu onesha hayo waliyotangaza jana manake hayo matokeo ya Tunduma ndo yametangazwa leo-- yakiwa yametangazwa dakika chache tu zilizopita kabla sijaandika hii post na yanaonesha EL Tunduma amepata kura 32, 219 wakati CCM wamepata 19,446! Isitoshe, sina sababu ya kuandika manake baada ya kuyatangaza NEC huwa wanaya-post kwenye website yao na hata kwenye Twitter page yao!
 
Hiyo NEC labda ya Monduli
 
Hilo wamelisahau! Wamebaki kulia lia kwa kumlahumu kila mtu hisipokuwa wao.Niliwambia tangu mwanzo kwamba dhambi ya kumtimua DK.SLAA itakuja kuwatafuna-kikowapi sasa?

Kwendaa zakoo nani kamtimua?? Hiyo dhambi ikwapi?? Si alijitoa mwenyewe!! Hata yeye anaona haki inavyotowekaa!
 
Mwenyekiti wa tume na viongozi wengine wa tume wanateuliwa ama kuajiriwa na risiti ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachoshindania pia madaraka na hiyo tume ikishatangaza hakuna sehem ya kulalamika kwa maana ya kutafuta haki sasa huo unaita uchaguzi huru??? Ni kichekesho na uigizaji hakuna uchaguzi hapo ni maigizo tu
 
Back
Top Bottom