Hatutaki kuajiliwa na serikali wote na sio wazo kuu ila tunataka serikali iweke mazingira rafiki kwa watu kuinvest... Vijana wanagundua vitu lakini serikali ndio ya kwanza kuua ugunduzi. Vijana tunaenda na project kubwa pesa unayo na kila kitu kufanya authorization tu serikali itakupotezea na...
Umodel hauhusiani na ushoga. Ushoga n tabia ya mtu, sema mashoga wanatumia umodel kujitangaza. Kuna mamodel wakubwa wengi na wanafanya Kaz zao kama gentleman mfano David backhamp na cristiano ronaldo. Mavazi lazma yatangazwe xo u nataka mavazi ya kiume yatangazwe na kina Dada.
Mmmh... Kwa maana umeamua kuacha unaweza. Jaribu kuwa mbunifu ktk mahusiano na huyo ulie nae,sex sio ndio kila kitu ktk relation. Also think about after life mda wote ambao vishawishi vinakuja. Fikiria kuhusu kifo mda utapata reason to hold on.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.