Recent content by Eddy kirumbi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kusupply kwa wachina wa SGR

    Sitaki kusikia kuhusu SGR, mradi wa kitapeli sana huu. Tumefanya kazi yapi merzkezi mambo hayo hayo pesa ya toka Feb inapigwa kalenda kila siku leo unaambiwa hadi July
  2. E

    JamiiForums Tanzania Rais samia aahirisha tena sherehe za muungano, aagiza mikoa ifanye shughuli za maendeleo siku hiyo

    Pesa hakuna, a napenda kufanya Sema majizi yanatawala nchi hela yote iko kwao
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kiburi hutangulia maangamivu, Magufuli jitafakari!

    Nani ataishi milele jamani? Kila mtu atakufa iwe umeshupaza shingo au umelegeza. Tuacheni story za kusadikika[emoji28]
  4. E

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR kuanza kazi imeishia wapi?

    Na stori za ndani kabisa nimesikia mradi umesimama kwa zaidi ya wiki mbili sasa kwa kukosa mafuta, Kama ni kweli inahuzunisha.
  5. E

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia udahili vyuo 163

    Ni kama nimeona DIT na ATC vile?
Back
Top Bottom