NACTE yavifungia udahili vyuo 163

NACTE yavifungia udahili vyuo 163

Kuna vyuo vingine ni vya ovyo ovyo tu kama Mtwara COTC,taaluma inayotolewa ni ya kusukuma siku ziende wamulike katika uendeshaji wa hivi vyuo pia
 
Habari ni kufungiwa vyuo then list umetuwekea vyuo vinavyoruhusiwa kudahil..ingekaa vizuri ungetuwekea list ya vilivyofungiwa
 
NACTE imefanya vema, wasi wasi wagu wasije wakapita mlango wa nyuma vikafunguliwa kesho kwa kisingizio cha "wamefanya marekebisho"!
 
Kuna vyuo vingine ni vya ovyo ovyo tu kama Mtwara COTC,taaluma inayotolewa ni ya kusukuma siku ziende wamulike katika uendeshaji wa hivi vyuo pia
kuna ndugu yangu kamaliza pale wanasema ni chuo bora tuambie shida nini pale
 
Back
Top Bottom