Huu sio wakati wa kukumbusha yaliyopita. Mwanachama yeyote wa CHADEMA aliyepotea na anatamani kurudi chadema huu mwaka ni WA kuokota watu wote. Pamoja na yote jua Kuna watu wanamuamini Dr slaa hivyo alivyo kwaiyo usidhani Dr slaa atarudi pekeyake Kuna watu atarudi nao. Ccm huwa hawaangalii sana...
Moja kati ya nyuzi Bora kabisa nilizosoma karibuni. Labda sababu nime ishi maisha ya kuona ulichokieleza.
Kuna familia Moja ya watoto WA Tano woote wamesoma sana na kazi zao za heshima ila wana ndugu Yao Moja tena ni mdada mlevi, mkorofi yaani hakuna ulichoongea hapo ambacho hafanyi. Wako na...
Kuna mbunge anaitwa Kondester aliongea vizuri sana Jana, sema sababu hatusikilizi na tukisikiliza tunasikiliza tunayotaka kusikia tunaweza tusielewe.
Hii inaonekana inaweza kua vita ya maslai TU. Hatujui ila pande zote Kuna shida mahali. Data alizonazo mpina zinatosha kuonesha kua upande wa...
Binafsi naweza kutofautiana na maoni yako na wengi wanavyoona ila kikubwa ambacho naona uchaguzi wa mwaka 2015 ulikua ni uchaguzi wa kimageuzi tu wenyewe bila nguvu ya yeyote. Tena naweza sema pengine uwepo wa lowassa kwenye uchaguzi huo inawezekana umepunguza idadi ya hao wabunge au pengine...
Sijui Lengo lako Ni nini ila Ulichoripoti sio Kilicho semwa au Umekisema tofauti kwa manufaa unayoyajua mwenyewe. Ningepata ile video ningeweka hapa ili ujione ulivyopotosha. Sadly Hata jina la Mchungaji umekosea kuandika, na Sijui ndio nyie mnaangaliaga kwa Mrengo wa Kukosoa tu🥲
Naungana na wewe kabisa, Ni Leo Asubuhi nimetoka kuongea na Dogo moja anasoma Degree ya Utawala Sijui na mavitu Gani ndio intake mpya, Mkopo amekosa mama yake anapambana na kukopa ili dogo asome kwa kuuza mgahawa mpaka unaona huruma🥲, akimaliza aje kupaki mpira home Tena.
Tumefanya kazi huko ni ujinga mtupu, Toka kipindi anashindwa kulipia mafuta ya mitambo na magari, mara maji ya kunuwa Hata week mnakaa bila bila niliona dalili Mbaya. Tumefanya kazi kama sub Toka mwezi wa pili certificate hazijalipwa hadi Leo. Uhuni uhuni tu nchi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.