Recent content by Eddy de rose

  1. E

    JamiiForums Tanzania Depression inanimaliza, sina muda mrefu wa kuishi

    Je, unafahamu chanzo cha tatizo lako? Ukishafshamu chanzo cha tatizo lako huo ndo mwanzo ni mwanzo wa kupata suluhisho.
  2. E

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Nimewahi kushiriki brother.
  3. E

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Hapa una maanisha kwamba UKIOMBA NA KUNUIA KWA IMANI KUPITIA DAMU YA MWANA WA M_NGU UTAKUWA UMEPATA HIYO SPIRITUAL ACCESS AU? Nahitaji clarification hapa tafadhali Mr. Tanzanian Dream.
  4. E

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Hapo kwenye first Law pale uliposema “ Sisi wa Light side tunatumia damu ya Mwana Mungu ”,,,,hpo una maanisha kwamba ukiomba na kunuia kwa Imani kupitia Damu ya Mwana wa Mungu ktk sehemu yako ya biashara utakuwa tayari umeshapata hiyo access ya kiroho au unahitaji cha zaidi? Ufafanuzi please...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ajali ajali ajali na damu zake

    Ya kweli Hayaa?
  6. E

    JamiiForums Tanzania SALAAM ZA NOELI: Naomba umtakie sikukuu njema yenye baraka na furaha memba mmoja tu wa JF kwa kumtaja jina lake

    Mm niwatakie heri ya Christmas wana JF wote kwani sitaki kuwabagua Coz nawapenda wote sabu nimejifunza mengi kwa kila mmoja pindi nitembeleapo jukwaa hili pendwa.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Duh,,,Asante sana future pastor,,,nitaifanyia kazi.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

    Kwani akiuza mboga au kuokota chupa na kuuza juice kuna shida gani? Au Ulitaka wafanye kazi gani?
  9. E

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Jitie moyo hivo hivo
  10. E

    JamiiForums Tanzania FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

    Y-anga A-Afungwe ~ YAS S- Sana
  11. E

    JamiiForums Tanzania FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

    Yanga anafungwa tena mbili bila
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

    Ndo mkome kuingilia mda wa watu kufanya mambo yao. Sasa saa saba usiku hujui ni mida ya wanga?
  13. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Mbunge Abood, amegusa maisha ya Wananchi kwa Miradi ya Maendeleo

    Hebu aache siasa, awe Mwananchi wa kawaida afu awape misaada,vinginevyo hiyo ni form of hongo kulinda nafasi yake ya ubunge
Back
Top Bottom