Recent content by edam

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ubunge Jimbo la Segerea: Wagombea CUF na CHADEMA wote warudisha form; hii imekaaje UKAWA?

    Mimi na mwanachama wa chadema ninae support ukawa. Tunapompendekeza mtu kugombea tuwe na uhakika wa kushinda kwanza kwa nafasi yake, pili kwa umoja wetu(UKAWA). Kwa dhamira yetu ya kutaka ushindi napendekeza asimame Julius Mtatiro. Ushauri
  2. E

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro achukua fomu ya ubunge jimbo la Segerea

    Yapo mambo magumu na ya kimsingi ya kumshirikisha Mungu, hili la kumuondoa ccm uweza wa kibinadamu unatosha. Ucmchoshe. Asitunyime pumzi tu mpaka 25 october.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    alidhan atapata kura za walimu kwa kuwatisha na laptop. Nyumba moja moja kwny shule za kata wameshindwa je ataweza kutoa laptop atleast 70 kwa kila kata? Udanganyifu jipange
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, unamfaham James Lembeli?

    huna jipya juu ya engine hiyo
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Nnachosadiki ulikuwa mzigo wa huyu alieingia tano bora wala usimsafishe. Iliturahisishia cc wajumbe wa nec
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya babu inanitesa

    mkaze dada yako ndo kikomo cha hiyo dawa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wasomi vyuo vikuu Dodoma watoa tamko kuunga mkono tamko la Jumuiya ya Wanazuoni

    watafute mwalimu awaeleze nini maana ya uanazuoni. Hawa watakuwa wamekurupuka au ni kikundi kilichoundwa na mafisadi kwa kupewa elfu 20 kila mwezi kama mgao wa escrow ili waje wapotoshe uma. Futilia mbali uchafu wao kwny mtandao
  8. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    tena tezi dume
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je, kozi ya diploma in optometry ina nafasi gani kwenye ajira?

    soma ukimaliza utajua nafasi yake
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya cheti, Tumesubiri sana

    Jamani naomba mtu mwenye taarifa na mipango mipya ya serikali juu ya nafasi za masomo ualimu cheti aniambie naona kimya kirefu, au BRO
  11. E

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

    Nchi ina walimu elfu2 wa ziada wapeleke vyuoni wengine si kuliletea taifa umaskini kwa kulipa mishahara
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wenye hoja mbadala dhidi ya nondo za T. Lissu uwanja wenu huu

    unawezaje zungumza udogo wa lissu hali ukijua tv yangu na washinikiza wanagwaya?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wenye hoja mbadala dhidi ya nondo za T. Lissu uwanja wenu huu

    sitaki marekebisho ya katiba* nataka mabadiliko ya katiba. Jiulize 2 au 3
  14. E

    JamiiForums Tanzania Dillema about Lowassa

    atakuja kulipa kisasi
Back
Top Bottom