Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
Watu bhana!!! Nimesema hivi, weka source na link inayo thibitisha waliopata div.4 hawata dahiliwa....
Hebu someni tangazo la wizara ya elimu upya linalohusu mafunzo #kabilishi ngazi ya cheti 2014/2015!
United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training

jamani nchi yetu si munaijua? mwashangaa nini? , four wamechukulia lakini nahisi mbeleni huenda wakaapata shida kwa njia moja au nyingingine........,jambo hili ni kama serikali wamelifanya siri, lakini vyuo vina jua vizuri, wanaweza ,
wamejinyazia ili wapige pesa kwanza..............

mimi taarifa hizi nilizipata moja kwa moja kutoka kwa mkuu wa chuo tena akiwa analalamikia serikali,
akasema mbona serikali wanatuchanganya???????????????????labda lengo lao ni kuua vyuo vya private.
haya ni maneno ya mwalimu.
 
Nchi ina walimu elfu2 wa ziada wapeleke vyuoni wengine si kuliletea taifa umaskini kwa kulipa mishahara
 
jamani nchi yetu si munaijua? mwashangaa nini? , four wamechukulia lakini nahisi mbeleni huenda wakaapata shida kwa njia moja au nyingingine........,jambo hili ni kama serikali wamelifanya siri, lakini vyuo vina jua vizuri, wanaweza ,
wamejinyazia ili wapige pesa kwanza..............

mimi taarifa hizi nilizipata moja kwa moja kutoka kwa mkuu wa chuo tena akiwa analalamikia serikali,
akasema mbona serikali wanatuchanganya???????????????????labda lengo lao ni kuua vyuo vya private.
haya ni maneno ya mwalimu.

unaposema wapige pesa kwanza unamaanisha private au serikali.
 
tuvute subila..... hata hivyo mpango uliopo sasa ni kwamba , watakaochukuliwa ni waliopata 1 , 2 na 3 basi
mimi mwanangu nimeamua kumpeleka private, na taarifa hizi nimezitoa huko.................wizara tayari nimewatarifu wakuu wa vyuo vya ualimu , tena kuwa isichukue wale wa four ya zamani au four sasa.

huyo mwanao yeye ana divishen gan? Na huko private umempeleka akasomee ualimu ama vp? Na wewe unamamlaka gani ya kuwaambia serikali eti wasichukue divishen four kisa mwanao umempeleka private? Hacha wivu wa maendeleo tena ukitaka ubaya na watu zuia maendeleo katika suala la elimu.Jishangae mtu mzima kama wewe mwenye mtoto.
 
habari za kuaminika,division 4 hawatachaguliwa,hakuna cha bridging course,inservice teachers wa primary wamepata fursa ya kusoma diploma ambayo itawasaidia kujiunga na degree na kwendelea,

We ukisoma tangazo la wizara ya elimu katika ualimu utatulia,utaacha kupayukapayuka.
 
huyo mwanao yeye ana divishen gan? Na huko private umempeleka akasomee ualimu ama vp? Na wewe unamamlaka gani ya kuwaambia serikali eti wasichukue divishen four kisa mwanao umempeleka private? Hacha wivu wa maendeleo tena ukitaka ubaya na watu zuia maendeleo katika suala la elimu.Jishangae mtu mzima kama wewe mwenye mtoto.

mwanangu ana 3 ana alichaguliwa kwenda form five, kama familia tukaamua bora aende ualimu, 3 yake ni arts
nadhani ndiyo maana hakupata miongoni mwa wale waliochaguliwa kwenda monnduli,,

mimi sijaiambia serikali wachukue hao wa d 4 , wala sina mamulaka hayo, ........huu ni mpango wa serikali
kumbuka mbali na mwanangu nina ndugu zangu wengine wenye D4 ambao wamevujika moyo kwa taarifa hii.
.........Ni mppumbavu tu anayeweza kufurahia mabadiliko haya.
 
jaribu kuipitia post yako ya awali uone ulivyoandika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom