The CEO Roundtable is a policy dialogue forum that brings together CEOs of 40 of the top 50 companies doing business in Tanzania. Membership to the Roundtable is open to CEOs and Chairmen of major companies operating significant businesses in Tanzania and is by invitation only.
Naam, hawa ndio...
Hivi hii sheria ya kuandikisha makampuni kama haya kwenye soko la hisa imeishia wapi? Hii kampuni ya Tanzanian Royalty Exploration Corporation hisa zake zinapanda kila siku kwenye soko la hisa la New York (NYSE). Kwa nini wasiwekeze kwenye soko letu pia angalau Watanzania wakaweza kununua hisa...
By MICHAEL M. WEINSTEIN
Published: December 13, 2009
Paul A. Samuelson, the first American Nobel laureate in economics and the foremost academic economist of the 20th century, died Sunday at his home in Belmont, Mass. He was 94.
His death was announced by the Massachusetts Institute of...
Jamani mimi naona aibu na hiki chuo chetu. Nimejaribu kuwaccess baadhi ya potential professors wa engineering hapa chuoni kwetu ambao wanaaccess na foundation mbali mbali kama National Science Foundation Research na Rockefeller Foundation na kuwaeleza matatizo yetu lakini hii website ya COET na...
Retail chain Meijer in talks to open Detroit store
By The Associated Press
Detroit (AP) Retail chain Meijer Inc. is in talks to open a Detroit store that would anchor the Shoppes at Gateway Park project.
The Detroit News reports today that Meijer lawyer Stephen Palms confirmed the...
Hunger hits Detroit's middle class
Food has long been an issue in this city without a major supermarket. Now demand for assistance is rising, affecting a whole new set of people.
See all CNNMoney.com RSS FEEDS (close)
By Steve Hargreaves, CNNMoney.com staff writer
Last Updated: August 7...
Paypal ni nzuri kwa kutuma na kupokea hela toka kwa mtu unayemjua na kumuamini lakini inabidi muwe waangalifu mnapotumia huduma hii kwa manunuzi ya vitu online. Sio kila mtoa huduma/mfanyabiashara mwenye nembo ya Paypal umlipe kwa kutumia card yako ya benki. Paypal wanajitangaza kwamba wao ni...
Mchungajimakini!
Unapoandika punguza jazba
- Ni kweli kuwa wakristo ndio wenye nguvu katika utawala wa Zanzibar?
- Je ni kweli Zanzibar kuna Wakristo 40% na Wazanzibar 60%?
-Na hapo unamaana gani Wazanzibar wote ni waislam au wabara wote ni wakristo?
- Una uhakika kwamba wanaotoka...
Mwiba!
Mmh! Sikujua Jumuiya ya Uamsho ina malengo zaidi ya kuamsha waumini kuhusu mambo ya dini!
Au swala la Muungano limeshakuwa la kidini huko Zanzibar?
Au hii Jumuiya imebadili malengo?
Originally Posted by economist
well: I believe any research comes from the area of interest of a researcher and the area of interest of a researcher comes from within. Logically, we start with defining a research problem and not a research title...be very carefully.
Duh, Naona...
Well: I believe any research comes from the area of interest of a researcher and the area of interest of a researcher comes from within. Logically, we start with defining a research problem and not a research title...be very carefully.
1. You can visit this blog (bonyeza hapo chini)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.