Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
Masanilo na wenzako
Msilete elimu ya kibongobongo hapa. Kina mtu ana njia zake za kujifunza na kila mtu anapata inspiration kwa njia zake tofauti.
Alichotaka yeye ni topic au title. Na research nyingi title unayoanzia sio hile unayokuja kumalizia.
Kama una title mpe kama huna get out of the way.
Dogo Za10
I am talking from experience, nimefanya undergrads bongo na all my postgrads nimefanyia nje na ninafundisha huku huku. Labda kama vyuo vinatofautiana, narudia tena kama mwanafunzi ni mzuri atakuja tittle anadiscuss na supervisor If is doable within the context ya Masters na time frame iliyopo. Mwanafunzi anayekuja kwangu na tittle aliyeitengeneza mwenyewe Masters ama hata PhD ni mzuri sana kuanza naye maana ana critical thinking, lakini ukisupervise mwanafunzi aliyepata tittle JF hata kama ni nzuri supervisor ataishia kuiandika student wont think...nimefanya kazi na wanafunzi wengi bwana. Huyu hata kama ni mzuri basi hana confidence, na yuko weak, kuna literature anaweza ona kabisa kipi kinafanyika sidhani kama ni lazima apewe topic.
Mfano mwanafunzi akija na topic : Effect of Globalisation in the Economy of Poor countries, hii topic nzuri ila kwa MSc haiwezekani, Supervisor ataishape ifanane na Masters. Acha kupiga kelele umezoea kupewa kila kitu kwenye taulo eeehhh za 10!!
Masa