Recent content by Eco-mathematician

  1. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Ameniboaa! Marafiki wa social network

    hao ndio vijana wa media...kukubaliana PM kumwagana hadharani....hahaha kaaaaazi kweli kweli
  2. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Joto Hasiara, Jay Dee alikopi, akabadili Maneno, Akapesti

    kaaazi kweli kweli........
  3. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya uboho wa binaadamu

    ni kinywaji kipya Tanzania.
  4. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    Sijutii kuzaliwa Africa, East Africa na zaidi Tanzania, Sijuti na hali ya serikali iliyo madarakani kwa sababu hakuna jipya niliyajua toka zamani so pole mgeni wa hali halisi.
  5. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Angalia Tofauti Hii KUBWA Kati Ya Marekani Na Tanzania...!

    kinachoendelea kwa sasa ni ushabiki wa vyama vya siasa na sio maslahi ya nchi,,i hate the system of politics in our country coz inaharibu hata mfumo mzima wa elimu na maisha kwa ujumla
  6. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Naipenda sana CHADEMA, Tatizo ni sera mbovu, vurugu na ugaidi

    R.I.P mwl. Nyerere,........fumbua macho angalau sekunde moja uone wajukuu zako wanavyogombana maskiniiii........:confused::thumbup::confused:
  7. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo gari linalotumiwa na Rais wa Marekani

    ni taarifa tu kama unavyopata taarifa nyingine ambazo kimsingi haziwezi kukuondolea umasikin coz umasikin utaondoka kwa juhudi zako na sio makala ya kwenye magazet or anywhere else,,THINK POSITIVE AND FOCUS FOWARD..
  8. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Ubora duni wa majibu na hotuba ya Rais wetu

    realy..ni kipima joto haswaa maana hata mjumbe wa nyumba kumi hapaswi kuulizwa in that way
  9. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Ivi huyu Malia na mdogo wake Sasha wanasoma saa ngapi? Na vp wanaweza kupata ma-boy friend kweli?

    wanasoma Airforce 1 high school na tuition Whitehouse.
  10. Eco-mathematician

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto na dhihaka kwa ujio wa Obama!

    inasikitisha saana...i do agree with the Obama's arrival especially in economic aspects but kwa hili la kuamua wenyewe nani aonane nae ni ufinyu wa maamuzi kwa serikali yetu kwa sababu hata Rais wetu angeweza kupanga kwa kuzingatia vigezo vya usalama pia.
  11. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa mademu wa facebook

    hahahaaa naona kesi ya ngedere kaileta kwa nyani.
  12. Eco-mathematician

    JamiiForums Tanzania Bibi wamo

    tembea uone mambo,watu wanasafir hadi na kobe
Back
Top Bottom