Recent content by Ecclesiastes

  1. E

    Je, inaruhusiwa kukataa cheo ndani ya Idara?

    Naona swali halipati majibu makini ya kisheria. Mimi si mwajiriwa wa serikali lakini swali nimelipenda. Kwa mnaojenga hoja kwamba ulazima wa kukubali cheo kipya ni kwamba kwenye mkataba wa ajira mtu anakuwa amekubali "na majukumu mengine yoyote atakayopangiwa na mwajiri"...Je mwajiri akiamua...
  2. E

    Barua ya kukataa kazi

    Pole sana. Hawa Ilovo pia walikuwa wametoa ahadi nzuri nzuri za kusomesha nje, ila kule kiwandani baada ya kuhojiana na wenzetu waliochukuliwa mwaka uliotangulia, nikafahamu kwamba nao walipewa ahadi hizo hizo lakini hakukuwa na utekelezaji.
  3. E

    Kwanini walokole mnapenda kujihesabia haki?

    Ni kweli wapo “walokole” wenye mapungufu mbalimbali kimwenendo. Kutumia mifano ya hao kuiponda dhana nzima ya wokovu wa mwanadamu kwa njia ya Yesu Kristo bado sio sahihi sana. Andiko la 1 Petro 4:17 linatoa angalizo sana: kwamba hata mlokole, pamoja na kumkiri Yesu kama mwokozi, bado ana wajibu...
  4. E

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Sitetei Soda sana, na ninazinywa. Ila kwa upande wa kisukari, natamani nguvu inayotumika kukemea soda ingetumika na kukemea pombe. Watu ninaowajua walioathirika na kisukari, akiwemo baba yangu, ni watumiaji wa pombe, sio soda. Lakini kila anayezungumzia kisukari anataja soda. Naona kama shetani...
  5. E

    Barua ya kukataa kazi

    Mwaka 2002 Kilombero Sugar (Ilovo) walinipa offer baada ya usaili ulofanyika mara 2, Dsm na kiwandani kule kidatu. Walinipa mkataba lakini malipo yake sikukubaliana nayo kulingana na mazingira ya kazi na masharti ya mkataba. Nilijaribu kushawishi waongeze kidogo lakini wakasema haiwezekani. Basi...
  6. E

    Ndege kubwa kuliko zote duniani, kuanza safari 2019

    Jet engines na wing-span hizo zitasaidiaje anga za juu ambako hewa ya kutoa msukumo wa kuelea haitoshi?
  7. E

    ATCL mtandaoni ni aibu!!!

    Jana jioni niliitikia mwito wa kuwa mzalendo ninunue tiketi ya Air Tanzania mtandaoni, nikahangaika kwa muda maana kuna "window" ilikuwa haikamiliki. Hatimaye nikafanikiwa kuanza booking. Nilipotafuta maelekezo ya kulipa kwa mpesa, nikakuta si makamilifu. Nikapiga namba za mawasiliano...
Back
Top Bottom