Barua ya kukataa kazi

Barua ya kukataa kazi

Mi huwa naacha kazi inapo fika stage nime kata tamaa nayo... sipati ule uchangamfu waku fanya kazi , ule usemi wa " Its blue monday, back to work" huwa umefika kikomo hapo ndio huwa naamua kukaa chini naku draft barua yangu yaku resign.

2. Sipendi kuburuzwa buruzwa kazini kama vile sija enda shule. The moment niki hisi na napelekeshwa ... cha busara sana nta vumilia kidogo sana , sana. Niki shindwa hapo basi huwa ni muda mwafaka waku draft barua yaku resign.

3. Mshahara mdogo... ntafanya kwa mshahara mdogo endapo tu niki pata green light kuna dili 2 , 3 zina weza kukupa hela ya ziada kazini.
 
Mwaka 2002 Kilombero Sugar (Ilovo) walinipa offer baada ya usaili ulofanyika mara 2, Dsm na kiwandani kule kidatu. Walinipa mkataba lakini malipo yake sikukubaliana nayo kulingana na mazingira ya kazi na masharti ya mkataba. Nilijaribu kushawishi waongeze kidogo lakini wakasema haiwezekani. Basi nikakataa hiyo “offer” .Haikuwa rahisi sababu sikuwa na kazi yoyote bado na hata nauli ya kwenda usaili (Dar - Kidatu) nilikuwa nimeomba kwa mtu.
*So, I guess, men were men those days*

Nikipoaga kiwandani niliwaambia wasiniite tena bila kufika pale ambapo niliomba wafike (bado ulikuwa mshahara mdogo pamoja na hiyo nyongeza niliyoomba). Hata hivyo baada ya wiki hivi waliniita kiwandani nikajua wameamua kupanda dau. Kufika habari ikawa ileile, nikapelekwa kwa mzungu mwingine akaniambia “you have to take our offer as it is, or leave it”. Nikapata mshangao kwamba sasa waliniitia nini wakati hawajabadili chochote. Nikakataa tena wakanirudishia nauli yangu nikaondoka.

Nikaja kupata kazi zingine ambazo zilikuwa bora zaidi.

Msingi wangu ilikuwa kuamini Mungu atanipa kazi bora zaidi, maana hiyo niliyokataa nili-bargain kiungwana sana lakini bado wakakataa nikajua nikilazimisha sitaifanya kwa furaha kwa hiyo utendaji utakuwa chini, nami nitaonekana sikufaa hata kupewa hiyo kazi.

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote umkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako”.

Asanteni..
Mkuu unanikumbusha mbaali saana ,,,hata mm niliwahi Fanya kaz ya kujitolea kwenye redio moja hivi ,,,kwa makubaliano ya ajira baada ya mwez mmoja lakini WAP wakaanza kunizingusha Mara meneja hayupo Mara mkurugenz hayupo nilienda nao mpaka miezi minne lakin mwishone wakaja wakaniambia hawawez kuajiri hawana hela daah niliondoka bla kugeuka ,,,,Tahadhar kuchezea taaluma, muda na nguvu kazi ya mtu ni laana
 
Pole sana. Hawa Ilovo pia walikuwa wametoa ahadi nzuri nzuri za kusomesha nje, ila kule kiwandani baada ya kuhojiana na wenzetu waliochukuliwa mwaka uliotangulia, nikafahamu kwamba nao walipewa ahadi hizo hizo lakini hakukuwa na utekelezaji.
 
Niliacha kazi juzijuzi kwenye private though mshahara ulikuwa mzuri...sababu nilipata kazi serikalini so nikaja kwa sababu ya kutafuta job security...na miezi kama saba hivi serikalini and kwa haya manyanyaso ya baba Jessica sitafanya kazi serikalini mda mrefu any time mambo yangu nikishayaweka sawa naondoka...next step itakuwa self employment...huwa namuonea sana huruma mtu ambaye anataka kufanya kazi serikalini maisha yake yote
 
Hongereni wote wenye hiyo courage ya maamuzi magumu hivyo, mimi sipapendi ninapofanyia kazi ila maisha yalivyo tight hivi na ajira zilivyo ngumu nakufa tu na tai shingoni sina jinsi... ni uanaume haswa kuchukua hayo maamuzi.
 
Mkuu ni kweli unachoongea and kamwe usijaribu kuacha kazi kutokana na maneno ya kusikia kwa watu kama hivi...wewe endelea tu kufanya hiyo kazi kwa moyo wako wote.,mungu atakufungulia njia huko mbele katika wakati ambao amepanga yeye
 
Amen mkuu, maana hii kazi nimeipata kipindi ambacho nilikua natafuta ajira kwa nguvu sana na ikatokea bahati tu. Japo siipendi ila ndo inayonifanya naishi na mwanangu, nalipa kodi na vitu vingine sema nimeona sio sehemu sahihi kwangu ni shida tu ndio zinaniweka.
 
Vumilia ni njia tuu hakuna kitu kita kaa milele kila kitu ni mapitio ipo siku uta sahau yote na kufurahia kufanya kile uki pendacho
 
Pole sana. Hawa Ilovo pia walikuwa wametoa ahadi nzuri nzuri za kusomesha nje, ila kule kiwandani baada ya kuhojiana na wenzetu waliochukuliwa mwaka uliotangulia, nikafahamu kwamba nao walipewa ahadi hizo hizo lakini hakukuwa na utekelezaji.
Wapuuuz saana ,,,,wamesahau kuwa kila mmoja ahitaji mwanzake kwa maana mm natafuta kazi na wao wanatafuta mfanyakAzi ,,,tell them shut up their mouths in Mgabe' s Voiced
 
Binafsi nachukia sana kukandamizwa ila kwa usawa huu ukipata kaz hata kama haikukufurahsha lakn inakupa njia flan ya kufikia malengo piga tu tena saf kabsa. Inakua rahs kuvumilia kukandamizwa kama unajua hapo ndo pakutokea na upo kwa mda tu.
 
Back
Top Bottom