Recent content by Ebilly

  1. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Nimekuta hizi dawa kwenye dressing ya mpenzi wangu

    Zina matumizi makuu matatu 1. Mtu mwenye vidonda vya tumbo, 2. Kusaidia kutoa mimba, 3. Kuongeza au kuchochea uchungu wakati wa kujifungua kama mbadala wa Oxtocin. NB, 1&3 sio sana sababu kuna mbadala wa Dawa bora zaidi ya hiyo But 2 Ndio common kwenye kutumika, so fanya uchunguzi kwanza ujue...
  2. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

    Jamani
  3. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani ulivyoweza kukutana na mke, mpenzi au mwenzi wako? Njoo tupeane uzoefu

    Mkorea mlimalizana vipi? Je, mpka sasa bado mko pamoja
  4. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda; Nawapenda wote na wote ni warembo hasa

    Ulioa yupi kati ya hao wawili?
  5. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kidigitali watu hutoa huduma mbalimbali kwa urahisi na haraka
  6. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wenyewe hupenda kutumia ugoro ili wapate usingizi
  7. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Alichokipata ndicho anachokistahili mana madharau yalimjaa sana
  8. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Katika vitu nimependa kwa wajumbe ni hili swala la Kondactor na mwaki madegree kupotezwa
  9. Ebilly

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wagonjwa wengi sana hata wale walio Mahututi Siku Moja tu kabla ya Vifo vyao huwa wanakuwa Wachangamfu mno?

    Hali hiyo hutokea kwa watu wengi san, pindi wanapokalibia kufa hupitia hatua tano ambazo ni viashilia vya kifo kwa mtu, na hatua hiyo ni moja wapo
Back
Top Bottom