Yaani nyie wazee wa liwalo na liwe, richmond, meremete, mgodi wa barrick, sh.315billion-uswizi, ulimboka, sinema ya kova mbona mnashangaza hata hii picha hamuiamini, tangu siasa za tz zianze sijawahi kuona ccm wamebanwa kiasi hichi, kazi yenu imekuwa kuji-defend tu na missiles za cdm, kazi ipo...