Recent content by Ebale

  1. E

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni pale alipoongeza mapato ya serikali, kuvutia wawekezaji wengi, kuongeza pesa kwenye halmashauri zetu, kupandisha madaraja watumishi, kufuta kesi 400 za kubambikia, na kusimamia vizuri miradi yote ya kimkakati...nikaanza kumchukia
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    https://www.jamiiforums.com/threads/ujenzi-wa-jnhpp-na-usambazaji-wa-umeme-rais-samia-aongeza-bajeti-kwa-230-kutoka-tzs-1-01t-hadi-tzs-2-34.1920512/
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-nabii-tito-aliingiliwa-uhuru-wake-wa-kiimani-na-waziri-wa-mambo-ya-ndani-kipindi-kile-bwana-mwigulu.1688662/
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kubadili Kadi ya gari, aliyeniuzia naye alilinunua kwa mtu na hakubadili umiliki, Kadi bado inasoma aliyeliagiza nje

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema! Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi. Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado inasoma mmiliki wa kwanza. Nina document za mwanasheria za ununuzi. Naomba msaada wa taratibu za...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vigogo CHADEMA na ACT kuweni makini na hili

    Una akili sana mkuu, big up!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Christmass kutoka kwa Lukuvi kanisani St.Theresa

    90 milioni!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea atangaza kujiuzulu Ubunge na uanachama wa CUF

    MBUNGE wa Jimbo la Tandahimba, Mtwara, kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Katani Ahmadi Katani mapema Leo Alhamisi Novemba 15,2018, naye amejiuzulu Ubunge na nafasi zake zote ndani ya CUF, kutokana na chama chake kuwa na migogoro isiyokwisha, inayoathili utendaji wake. Usajili 👆🏽👆🏽👆🏽 unaendelea
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

    We msukuma una ushahidi wa hili unaloandika au shibe ya makewe inakusumbua, JK will remain the best ever president
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Anthony Komu, Kubenea na yatarajiwayo

    Laana ya kumsumbua sana JK inawatafuna CDM, naamini huu ndo mwisho wenu, Kila siku Maandamano na makelele, naamini Mungu yupo anawalipa kwasasa
  11. E

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Hujaji wa Tanzania afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    mkuu unajua ni kwanini wazungu waliowaletea ukristo wao hawana mpango nao tena? Unajua kwanini wayahudi sio wakristo hadi leo japo wao ndo walioutunga? Unajua biblia ni maneno ya binadamu na sio ya Mungu ndo maana wanaongeza na kupunguza kila mara?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Hujaji wa Tanzania afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Naapa Moto ni haki yako, kama usipoleta toba ya kweli! huna siku nyingi, utakutana na Mola wako, dunia isikuhadae hii, ukajiona mjanja! Nakuhurumia , na pole sana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya masheikh wa Uamsho vs Kesi ya Mauaji ya Lulu: Haki iko Mbinguni

    Double standards ni dhambi kubwa sana
Back
Top Bottom