Vigogo CHADEMA na ACT kuweni makini na hili

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Naona Mkakati mkubwa sana humu kwenye Social media kuvigombanisha hivi vyama viwili. kuna watu wanajivika Uchadema au U ACT na kuanzisha mada ili kukiponda moja ya hivyo vyama kwa lengo la kuchonganisha.

Siamini kama Chadema wanaumizwa na suala la Maalim Seif kuhamia ACT wazalendo.

Kwa kuhamia ACT maalim kacheza karata yake vizuri, wale wenzangu wanao fahamu huo mchezo watakwambia Maaalim kacheza karata dume.

Wenye kusoma katikati ya mstari wanelewa na watamshamgaa yeyote yule aliyekua akitarajia Maalim kuhamia CHADEMA.
 
CHADEMA na ACT hebu nendeni kule Twitter kwa Jasusi Chahali Mkajisomee hujma zilizopangwa juu yenu. Hii siyo mara ya kwanza kwa huyu jasusi kusema kuna mbunge Chadema ambaye ni active officer wa idara. Kweli Chadema mnalinyamazia hili? Au huyo mbunge amekuwa double agent. Jasusi YERIKO hebu leta ufafanuzi hapa.
 
Naona Mkakati mkubwa sana humu kwenye Social media kuvigombanisha hivi vyama viwili. kuna watu wanajivika Uchadema au U ACT na kuanzisha mada ili kukiponda moja ya hivyo vyama kwa lengo la kuchonganisha.

Siamini kama Chadema wanaumizwa na suala la Maalim Seif kuhamia ACT wazalendo.

Kwa kuhamia ACT maalim kacheza karata yake vizuri, wale wenzangu wanao fahamu huo mchezo watakwambia Maaalim kacheza karata dume.

Wenye kusoma katikati ya mstari wanelewa na watamshamgaa yeyote yule aliyekua akitarajia Maalim kuhamia CHADEMA.
Kiongozi makini hawezi gombanishwa na mitandao ya kijamii ,bali facts tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Mkakati mkubwa sana humu kwenye Social media kuvigombanisha hivi vyama viwili. kuna watu wanajivika Uchadema au U ACT na kuanzisha mada ili kukiponda moja ya hivyo vyama kwa lengo la kuchonganisha.

Siamini kama Chadema wanaumizwa na suala la Maalim Seif kuhamia ACT wazalendo.

Kwa kuhamia ACT maalim kacheza karata yake vizuri, wale wenzangu wanao fahamu huo mchezo watakwambia Maaalim kacheza karata dume.

Wenye kusoma katikati ya mstari wanelewa na watamshamgaa yeyote yule aliyekua akitarajia Maalim kuhamia CHADEMA.
Yericko Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmebakia kutishana wenyewe kwa wenyewe
Mpaka sasa chadema wamepigwa bumbuwazi na hofu,kwamba Act ikichukua viti vyake 20 vya pemba + viti maalum,Zitto anakwenda kuwa KuB,hapo ndipo mbowe na lema wanachoka kabisa
 
Back
Top Bottom