Recent content by EasyA

  1. E

    Msaada kuhusu Alistair Group

    Nope... #Tracker
  2. E

    Msaada kuhusu Alistair Group

    Just google utapata more information Ila kwa ufupi ni logistics company
  3. E

    Msaada kuhusu Alistair Group

    Habari.. Kwa experience yangu ndogo nliapply pia on September 2021 nkatumiwa aptitude nkafanya...nlitumiwa majibu kuwa nmepass aptitude ...next nilipigiwa simu on 30th December for phone interview then juzi metumiwa email kwenda for face to face interview kesho(Thursday 6th) kumeet na hiring...
  4. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mkeka umetoka Tyar interview tarehe 8 dodoma
  5. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hvi after interviews inachukua how long majibu kutoka??! Ukizingatia Kuna issues za holidays pia this month
  6. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Tushazoea hekaheka hatutaki kutuliaa 😂😂😂
  7. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    He kuongezeka kwa nafasi Kuna ukweli wowote kwenye hilo??
  8. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Next time uwe unatuacha tupumue kidogo na ukagongea mstari asilimia 100 kabisa 😂😂😂
  9. E

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hvi Leo si ndo tarehe 3.... Vipi bro interview kakwambia ilikuaje???! Tujuze basis cz ilikua unatukazia sana na hyo tarehe 3 au hakupigiwa simu tena
  10. E

    Kati ya Supplimentary na Carry-Over ipi inawekewa nyota kwenye cheti ngazi ya chuo kikuu?

    Star utawekewa kwenye profile ya chuo ya mtandaoni ila at the end hamna cheti chenye alama yoyote' wewe uliesup na yule aliepata C hamtofautiani cheti kinakuja plain na grading zake
  11. E

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Inachukua muda gani kuitwa interview mkuu baada ya deadline ya kuwasilisha nyaraka??
  12. E

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Interviews zinakua written au oral? Na kama ni written zinakua ni aptitudes au zinatungwa kabisa??
  13. E

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Unamaanisha nn?? Naomba unifafanulie zaidi hapo
  14. E

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Naomba kujua process za interview MDH...ni oral au written? Na inachukua muda gani kuitwa interview baada ya kuwasilisha documents? Na interviewing process inachukua how long?? Samahan kwa maswali mengi ila natumai utanipa majibu sahihi Mtende Mtende
  15. E

    BoT tayari wametoa majina ya walioitwa kwenye 'Aptitude Test'

    Utasikia tu watu washaanza training ila majina ya kuitwa kazini sehem kama hzi wanayalimit ndani kwa ndani
Back
Top Bottom