Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

Mambo yameiva Wana JF katikati ya mwezi mambo yatakuwa bulibuli jiandaeni kwa nauli zenu za kukaa idodomiya huko wajameni maana soon mkeka out
 
Humu saiz nikunyweshana uji wa matumain daily mnalala mnaota mkeka na namna ya kutiana moyo. Tilieni wakuu mambo mazur hayataki haraka mkeka ukitoka kila mtu atajua.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
Ila pccb si huwa wanafanya usaili mara mbili kwa siku tofauti tofauti yaani mnaanza na Aptitude test kisha mnarudi nyumbani badae wanatoa majina ya walio pita kwenda kufanya oral interview. Awamu hii mambo ni tofauti?
Dadeki yaani siku moja unajua hatma ya maisha yako?
 
Ila pccb si huwa wanafanya usaili mara mbili kwa siku tofauti tofauti yaani mnaanza na Aptitude test kisha mnarudi nyumbani badae wanatoa majina ya walio pita kwenda kufanya oral interview. Awamu hii mambo ni tofauti?
Nadhani itakuwa hivo hivo aisee ila mtu kufanya interview moja then arudi tena dodoma ni gharama kubwa sana
 
Ila pccb si huwa wanafanya usaili mara mbili kwa siku tofauti tofauti yaani mnaanza na Aptitude test kisha mnarudi nyumbani badae wanatoa majina ya walio pita kwenda kufanya oral interview. Awamu hii mambo ni tofauti?
Kwa maelezo ayo manake kuna interview mbili i.e written&oral sindiyo kamkubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom