Oral Kuna maswali Yale common hupendelea kuuliza
1.your background based on experience and education
2.Mtumishi wa anatakiwa kuwa na sifa zipi au quality of civil servant
3.Responsibilities na duty za kazi izoomba
Maswali 2 ya mwisho yanakuwa ya fani husika
-Kingine kikubwa ni kutokaa kimya...
Hii nimeiokota huko forwarded as received ,muwe makini na wazungu wenu caring is poisonous trategy kuwapata japo siyo wote lkn kipaumbele ni usalama wako.🙃🙃
Me napinga mzungu Hadi mwisho.😅
Alafu ukifuatilia wasukuma wengi tafiti zangu zinaonyesha wameolewa uzunguni ,ila Dada zetu maisha ni haya haya kubarini kuishi kwenye uhalisia wenu na mu enjoy hasa, mambo ya kidhungu waachieni wadhungu, maisha yenyewe mafupi bado mdada unaji complicatisha ,unaolewa udhunguni ukaishi tamaduni...
Angalia kijana usije kuwa Kama yule jamaa na binti waliouwa wazazi wao kisa Mali kule Kilimanjaro na Arusha, hiyo akili na skills ulizo nazo tumia kujikwamua kiuchumi.
Kinachokusumbua ni tamaa ya Mali ,ishi maisha yako ,stay positive,acha wivu na kuiga watu.
Over.
Aiseee.. utumishi wapo fair sana kanzi data imenipa ajira Mimi na rafiki zangu wengi sana pasipo kumtegemea kabisa bila connection yeyote wengine wametolewa juzi majamaa 4 Tanesco na ofisi ya waziri mkuu, wengine TTCL
Hiyo ni mwaka huu tu na hata ajira yangu ni mwaka huu
Kikubwa ni kujiandaa...
Unakuwa over qualified endapo utaweka au kuongeza cheti cha degree ajira portal na at the same time unataka ufanye na interview za diploma adhabu yake cheti ukiweka cha degree hakitatoka hata ukiwafata Secretariat ya ajira ofisini kwao na hautoweza kuomba tena ajira ngazi ya diploma serikalini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.