Vijana na TV sasa hivi linaelekea kuwa ni tatizo kubwa la kitaifa.Vijana kutwa wanaangalia MOVIE iwe usiku iwe mchana wao ni kukodolea macho TV.Hawafanyi homework za shule hadi upige kelele.Hawalali ni TV tu.Huu utamaduni ulioibuka wa kupenda kuangalia TV hasa kwa vijana utazalisha kizazi cha...
Ndio huyo huyo.Ambaye alikuwa yuko huko UKAWA ni mtu wa TEAM LOWASA na alikuwa bega kwa bega kwenye mbio zake za uraisi.Ndio hao nadhani Kingunge alikuwa akijivunia kuwa Lowasa akishindwa nchi itawaka moto.Lowasa alikuwa na mtandao wa ajabu acha tu.Mungu kainusuru Tanzania
Uwaziri kazi.Mcheki huyo mama anayemgongesha kidole waziri .Tumaziwa twake katuweka wazi kalengesha usawa wa macho ya waziri kuwa kwa hiyo ANGLE ya macho ya waziri lazima huto tumatiti atuone aamue mwenyewe kama atahitaji maelezo zaidi kuhusu hiyo teknolojia ya mahudhurio wakaongee vizuri...
Hongereni CHADEMA kwa kuwa wazi kuhusu makusanyo ingawa ni kawaida yenu kutaja kiasi hata mlichokusanya kwenye harambee na michango mbali mbali.Tatizo huwa mnakuwa mabubu na hamuwi wazi wa kuelezea klichokusanywa kimetumikaje.
Ni matarajio yangu kuwa kwa uwazi huu huu na matumizi ya hiyo pesa...
Mimi binafsi nitamkumbuka hasa kwa uwezo wake wa kusimamia Ulinzi shirikishi unaoonekana na usioonekana katika kuhakikisha jiji linakuwa salama.Ni makamanda wachache wamebobea kwenye eneo hilo la ulinzi hasa lile la ulinzi shirikishi usioonekana.
Kova alikuwa kamanda aliyekamilika
Maazimio ya bunge yangekuwa ya maana na yanaheshimiwa UKAWA wasingemchukua LOWASA kuwa mgombea wao.Maana bunge lilimhukumu kwa Ufisadi UKAWA wakasema wanamchukua kwa kuwa mahakama ilikuwa haijamhukumu pamoja na maazimio ya bunge kuwepo.Wanasheria akina Tundu Lisu ndio walikuwa vinara kutetea...
Wapinzani wepi unaowaongelea? Hawa waliokuwa wakibwata bungeni kuwa Lowasa fisadi wa Richmond ili awape pesa? Baada ya kuwapa wakasema si fisadi na wakazunguka nchi nzima kumnadi??
Hapo wanataka huyo singa singa wabwate awape pesa halafu waseme hana hatia sababu hajahukumiwa na mahakama...
Hivi wakiburuzwa mahakamani na huyo mhariri akatakiwa athibitishe kama ana utaalamu wa kujua nyaraka original na feki huo muziki atauweza?
Na kama hizo nyaraka anazo ana uhakika ni feki? Anazijua original?Yeye ni mtaalamu wa forensic?
Kwa maoni yangu hicho kitu ni cha kitaalamu kama haku-quote...
Ulimwengu bure kabisa.Muulize alipokuwa Mkuu wa wilaya ya Ilala ana kipi cha kukumbukwa na wanailala kwa staili yake ya uongozi zaidi ya ulevi wake uliopindukia.
Mimi nafikiri kuna hujuma za kisiasa pia.Ni vizuri serikali itafute majibu kwa mkurugenzi mkuu wa huo mfuko Bernard Mchomvu ambaye ni mtanzania.Atoe jibu la kueleweka kisheria na kikatiba ya Tanzania.
Wanadiplomasia pia waingie kazini na MCC itoe jibu kwa watanzania la kueleweka nini ni nini?
Pamoja na kuwa hujaweka ushahidi ila niseme mikataba haiishi bado kuna vingi tu watakuja.Tanzania panaitwa Mtakuja.Wakija watatukuta.Mikataba yote itakayoingiwa iwe ni ya kibiashara hasa tusiangaliane usoni.
Ndiyo maana CHINA imeanza kuiteka Afrika sababu misaada yao haina masharti ya kisiasa...
Hao uliowataja wote wanatakiwa kuchukuliwa hatua kwa kulea uzembe ambao naibu waziri kauona.Wangekuwa wachapa kazi uzembe aliouona naibu waziri usingeonekana.Hao na ni majipu ya kutumbua waondoke wapishe wengine washike hivyo vyeo vyao.
Hayo mambo makubwa ya kitaifa ya afya unayosema yanafanywa...
Nafikiri ni vizuri pia kuondoa misamaha yote ya kodi toka kwa wawekezaji wa kutoka nchi za nje sababu sehemu ya faida wanazopata kwa uwekezaji wao Tanzania ndizo huzitumia kutupa misaada.Ajabu sisi tunapowapa nafasi ya uwekezaji nchini kwetu huwa hatuwapi masharti ya kisiasa lakini wao...
Labda niulize maana kulikuwa na hujuma nyingi sana za teamLowasa.
Lowasa angeshika tungepewa kwa kuwa mkurugenzi MKUU wa huo mfuko wa MCC kwa Tanzania ni Bernard MCHOMVU toka KILIMANJARO labda naye alikuwa team Lowasa? au unataka kusema nini? Sijakuelewa
Sasa kwa kuwa Lowasa hajapata kwa hiyo...
NBAA ndio msimamizi mkuu wa wakaguzi wa mahesabu wa ndani na nje na kusimamia utendaji wao.Madudu yaliyoonekana Bandarini lazima kulikuwa na uhusika wa namna fulani wa wakaguzi wa ndani na nje.NBAA na yenyewe itumbue majipu ya wakaguzi wa TPA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.