Recent content by Earthworker

  1. Earthworker

    Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wadogo usoni ila wanahifadhi wazee wako! Salamu tu hawatoi
  2. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kitu ambacho sikushauri kufanya ndo hicho mkuu yaani utalia, before hujanunua zote wanazotuma ni won ticket ila odds ukishanunua ni mwendo wa kubleed tu wamekula sana hela zangu ndo maana wanataka payment before
  3. Earthworker

    Niite basi remix

    Hii Waliifanyaga Remix Kwa Kuchukua Mdundo Mpya Wakatia Mashairi Ya Niite Basi Ya Josline Na Wanatamani Ya Makamua Na Kila Mmoja Akaimba Chorus Ya Mwenzie Na Mashairi Kiasi
  4. Earthworker

    Handsome up Inahitajika

    Asante mkuu
  5. Earthworker

    Handsome up Inahitajika

    Mbili kwanza
  6. Earthworker

    Handsome up Inahitajika

    Correct Correct Naitaka Mkuu
  7. Earthworker

    Handsome up Inahitajika

    Nataka kuwasapoti vijana wenzangu wafanya biashara za online wanaotuma popote
  8. Earthworker

    Handsome up Inahitajika

    Kwayeyote anisaidie kupata handsome up pump! inahitajika tafadhari! karibuni DM
  9. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaweza nisaidia kujua app gani jamaa anatumia kuweka bets zake?
  10. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mech zingine zinakuwa usiku ambapo ni siku mpya labda
  11. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka hii app unayotumia inaitwaje? Nataka nijisajili nami
  12. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mlioweka mikeka leo tutembezeeni chata! Tupeane mwanga!
  13. Earthworker

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu sijawahi kubet Tennis vip naweza pata somo?
  14. Earthworker

    Msaada : Anayeijua huu wimbo.

    Solo thang
Back
Top Bottom