Recent content by Eagle 01

  1. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Nimemzuia mke wangu kupanda lift ya jirani, lakini amekaidi

    Kazi kweli kweli!!!!!!
  2. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa migodini: Hayo makubaliano hayapo kisheria, hakuna kitakachobadilika tumepoteza muda bure

    Umetisha Mkuu huo ufafanuzi si wa nchi hii!!!!!
  3. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Mashairi tata Bongo fleva

    Hii tabia ya wasanii bongo kutunga mashairi tata siielewi kabisa kuna wakati inakuwa ngumu kusikiliza au kutazama na familia. Kwa mliosikiliza huu wimbo wa Madada Sita unaitwa Usingoje ni balaaa!!!
  4. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Kosa la kimantiki ni kuhadaika kufanya mazungumzo na Barrick badala ya Acacia

    Inawezekana kweli lakini bado kuna makandokando kibao, tuliingia mkataba na Barrick lakini mlipa kodi anayejulikana TRA ni Acacia na aliyesajiliwa soko la hisa ni Acacia. Mkuu inahitaji uchambauzi makini wa wasomi wetu watusaidie kututoa kwenye hili giza binafsi napongeza juhudi za Mh Rais...
  5. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Kosa la kimantiki ni kuhadaika kufanya mazungumzo na Barrick badala ya Acacia

    Kuna maswali mengi sana ambayo yanahitaji majibu: Barrick anamiliki 64% ya hisa ndani ya Acacia kwahiyo kuna wengine wanamiliki 36% zilizobaki kwahiyo Barrick hawezi kumuagiza Acacia alipe bila kujadiliana na wanahisa wengine ambao waliachwa pembeni kwenye mazungumzo na serikali. Barrick...
  6. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Ninahonga kupitiliza, mwenzenu nina nini?

    Nina bonge la ushauri ambao utakutibu tatizo lako lakini sikupi mpaka uuze kila kitu chako na hela zote uhonge halafu nitafute!!!!!!!
  7. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Kauli hii imeniumiza sana kutoka kwa mpenzi wangu

    Kuhusu kufanya mapenzi sana ni kweli wewe umetumika zaidi! Ukweli unauma lakini ni kweli ila kwa hizo tabia zake zingine Dada jipange hapo hamna mahusiano utatumika tu kisha utabwagwa.
  8. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Peacock Hotel akamatwa kwa kutoa ukumbi kwa watu wanaohamasisha ushoga

    Huyo manager akitoka polisi kama namuona anavyotafuta mmbea aliyetoa taarifa polisi , Duuuh wambongo wambea ni noma.
  9. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Muuliza swali anamajibu kichwani mwake lakini hataki kuyaweka humu, funguka tu kila mmoja ana uwezo wake wa kufikiri.
  10. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jerry Murro: Umaarufu na vyeo havitafutwi kwa staili hiyo; Usaidhani kuwa wewe u salama

    Pole Pole ajiangalie kazi yake ipo matatani Jerry ameshajua kuwa kibarua cha Pole Pole kinaisha December
  11. Eagle 01

    JamiiForums Tanzania Amenitamkia kua simridhishi sababu nina kibamia!

    Hiyo kali
Back
Top Bottom