Recent content by E Motherland

  1. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "Mama Africa" ni mwanamke wa namna gani? African Melki amuelezea kwa namna ya pekee

    Unafikiri ipi ni maana sahihi? Msanii wa kiafrika anayechipukia kwa kasi, African Melki amehojiwa na moja ya kituo cha runinga cha mtandaoni (Online media) na kutoa maana ambayo aliifikiria huenda kwa mawazo yake ni sahihi. "Mama Africa ni mwanamke kutokea Africa mwenye mwonekano asilia wa...
  2. E Motherland

    JamiiForums Tanzania Baruti wa Mkojani anafanya vyema kwenye muziki ukilinganisha na sanaa ya maigizo

    Habari zenu wana JF. Baruti ni kijana anayekuja kwa kasi katika sanaa nzima ya muziki nchini. Hamasa aliyokuwa nayo katika kufikia malengo yake imefanya vijana wengine mitaani kupambana zaidi na zaidi katika kuyafikia makusudio yao maalumu Bila shaka kwa wale wakazi na wafanya biashara katika...
  3. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    Ushauri mzuri huu kaka. Nitaufanyia kazi
  4. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28]Napenda kuitumia JF kujifunza kuandika kaka
  5. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28]Hapana kaka, sina ID nyingine tofauti na hii. Mara ya mwisho kuwa JF ilikuwa 2017
  6. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28]Wananielewa vyema tu mkuu. Labda wewe tu
  7. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28] Sidhani kama timu nzima ya Melo inaweza kufikiri kunitandika ban hata siku moja kwa sababu mi sio mtukanaji
  8. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    Ni kwa vile napenda tu kufanya Jambo ambalo moyo inapenda. Naipenda sanaa, nategemea kuwa presenter mkubwa sana hapa tz wa kuhoji wasanii hasa chipukizi
  9. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28]Ni suala dogo mkuu. Nasubiri mapokeo. Kama nitapokelewa vyema, nitatupia ka picha walau wana JF watambue uwepo wangu
  10. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    Itatakiwa kuwa hivyo japokuwa Melo hana taarifa hizi
  11. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    Sina uzoefu mkubwa wa uandishi ama uwasilishaji taarifa. Lakini nimejaaliwa kipawa cha kufikisha taarifa mbele ya hadhira na watu wakaipenda Hivyo mtaniwia radhi katika uwasilishaji mbovu nitakaokuwa nao Ahsante
  12. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    [emoji28][emoji28] Nitazungumza mengi tu kwenye nyuzi zitakazofuata
  13. E Motherland

    JamiiForums Tanzania "E Motherland" ndani ya JamiiForums ni kwa kusudio maalumu. Ni vyema niwashirikishe

    U hali gani msomaji? Pole na majukumu ya hapa na pale ya shughuli zote za ujenzi wa taifa E Motherland ni ID mpya inayomilikiwa na mimi mwandishi (Jina kapuni) ikiwa chini ya uangalizi mzima wa uongozi wa JamiiForums. Lengo la kuanzisha ID hii ni kukupasha habari za burudani zinazowahusu...
Back
Top Bottom