Rais anajificha nyuma ya watu aliowateua! Hataki kuwajibika kwa makosa yao na makosa yanayotokana na maagizo yake ya chini ya meza.
Hii ni style ya kuongoza kwa kukaa nyuma kusubiri kubeba credit kwa mazuri na kukwepa lawama kwa maovu yanayofanyika chini ya utawala husika. Hii imeonekana...
Kwenye sakata la Jairo Pinda alisema ingekuwa uamuzi wake Jairo ngekaa pembeni tu. Sasa Jairo akaurudishwa na mkuu wa kaya na hakuna ambacho Pinda lifanya.
Jifunze kitu hapo kama una akili ya kuunganisha matukio.
Mimi sikuwahi kumpenda, simpendi wala sitakaa nimpende lakini nitampa kura yangu oct 25. Chuki yangu kwa CCM hata angesimamishwa Wema Sepetu ningempa kura
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/892247-hatari-ya-mafanikio-chadema-ukawa-and-lowassa-5.html
Mkuu Frederick Barbarosa, nakubaliana na wewe kuwa wafuasi wa Lowasa si wengi kama anavyotaka tuamini na hilo nimelielezea kwenye andiko langu. Pia na kubaliana na wewe kuwa wengi wao ni...
Mkuu Bob G, nia si kushika dola, lengo la kwanza linatakiwa liwe kuiondoa CCM, kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo nyuma katika hili tuwe tayari kwenda mbali. Lowasa ni mbaya lakini hawezi kuwa mbaya kwa maendeleo ya nchi hii kuliko CCM, lazima tumchague shetani mmoja ili kufanikiwa na shetani...
Mkuu Mathias, binafsi naunga mkono Lowasa kwenda ukawa ila bado sishawishiki kuwa agenda yake kuu ni kuwaondolea watanzania umasikini, ukitaka kumwelewa mwanasiasa usisikilize maneno yake, soma matendo yake!
Mkuu Sabari, siasa si rahisi kama unavyoichukulia, ni ngumu kuliko fizikia, ukiweka bayana msimamo wako na misingi ya msimamo huo tutaweza kujadiliana zaidi,
Mkuu Barbarosa unajua asili ya jina lako? Tuache hilo kwa sasa, ni kweli Edward akiondoka CCM atakuwa adui wa dola isipokuwa jua kitu kimoja dola yenyewe haipo pamoja katika hili, ni dola iliyogawanyika na mgawanyiko upo kwa ndani, ni ngumu kujua nani wa kumuamini.
Kuhusu foreigh powers...
Nadhani ni mwandishi wa kimarekani Cristoper Dikens kama sijakosea jina, wakati Marekani ikijiandaa kuishambulia Iraq ili kumuondoa Sadam madarakani mandishi huyu aliandika makala "The perils of victory" Kwa Kiswahili unaweza kusema "hatari za ushindi". Kwenye makala hii alitahadharisha mambo...
Kuibiwa sio tatizo, shida ni kuibiwa bila kutambua, ujanani nilikuwa na mpenzi kila nikiacha wallet anachomoa, mimi naweka hesabu. Siku ya siku nikampa jumla aliyojichumia so far! Alafu sikumwacha kwa hilo.
Unaweza kuwa na mwenza anakuambia anakupenda sana bila wewe hawezi kuishi, kama ni fix...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.